music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Hapa panawahusu wadada so naomba nijibiwe na wadada.
Mie sio mtaalam sana wa vitu vya kike vilivyo kwenye trend. Ila nataka kumnunulia wifi yenu zawadi kwa ajili ya valentine so ninataka kununua kidogo kidogo mpaka siku hiyo maana mwaka jana sikumnunulia zawadi alipoa mpaka nikakosa raha kabisa.
Sasa naomba mnishauri page za insta nazoweza kupata
Pochi standard
Viatu haswa open shoes
Accessories kama hereni na mikufu
Wallet
Saa
Nataka kuwa naagiza online sababu mie ni mvivu wa kuzunguka madukani alafu pia sipendi kuingia maduka ya urembo.