Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

Mimi nna nywele ndefuu na nzito ila huwa sisukii mara nyingii hata miez6 inaeza pita bila kusuka, tatizo siku hizi nikibana nywele nikitoa banio limejaa nywele yan zinakatika pia nikichana zinakatika mnoo, nisaidieni cha kufanya!! Asanteeni
 
Hello warembo, mi natafuta corrective cream for oil face. product ya bruno vassari. Anayeijua anisaidie wapi inauzwa
 
Nimepata taarifa kwamba kaka Deo wa million hairs -mmoja wa waliokuwa wakijibu maswali kwa niaba ya million hairs amefariki juzi ijumaa. Msiba upo nyumbani kwake kwenye kota za BoT Mbezi beach, mazishi kesho jumatatu. RIP Deo
 
Nahitaji kufungua Saloon ya kike huku nilipo hakuna saloon ya kike na uhitaji upo mkubwa. Tafadhali naomba mentor mmoja anishauri.
petamaji71@gmail.com
 
Jamani dada nina nywele nyepes nataka niweke dawa nitumie dawa gani? ????
 
Back
Top Bottom