Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
- Thread starter
- #21
Kupeana stimu tu mkuuMnawaiga wazungu "kula denda" wakati wao wana mifumo tofauti kabisa ya maisha!
Ninyi mnakula mavyakula magumu ya asili yaliyotoka shambani ambayo mengi yanasababisha harufu kali ya kinywa!
Mnabugia maboga, maviazi, makande, maugali na mawali halafu hapo hapo eti mnataka "kula denda".
Muishi kwenye uafrika wenu. Mnanyonya nyonya mamidomo ya watu ya nini!?