Wadada sasa hivi tunamiliki wanaume!

Wadada sasa hivi tunamiliki wanaume!

Bidhaa hadimu haipatikani kirahisi na ikipatikana lazima ilindwe kwa wivu mkubwa maana maadui zako akijua furaha yako ilipo hawakawii kukupokonya.
 
Kwamba wewe ni mwanamke?
Au washakuvunja?
 

Attachments

  • Screenshot_20261101_143405.jpg
    Screenshot_20261101_143405.jpg
    154.3 KB · Views: 3
Kuna jamaa saa hiv yupo chin ya himaya yangu.namlisha, namvisha,namhudumia chote.ila kazi yake ni moja tuh kunipa dozi!
Kichwa cha habari kinatakiwa kiwe " mimi mdada namliki mwanaume wangu"

HUyo mwanaume wako sio saww ba wanaume wote tz
 
Back
Top Bottom