Tatizo ni kwamba wakati wanawake huwa wanapenda kutuweka kwenye makundi, wanaume hatufanyi hivyo. What matters ni ili mradi mkono umeingia kinywani. But the real fact is that in women there are gold diggers, smuts, cheaters, sneaks, the nice girls that you don't have to sweat bullets over, etc.
At the end of the day, the most important thing is just be who you are. Kama mwanamke akikupenda atakupenda because of the way you are. Don't expect that you are going to attract women by buying new shoes or a new phone. You will be disappointed. Instead may be look at your personality kama sio nzuri. Hiyo itakusaidia kuishi na watu in general and everyone will like to be around you.
It's difficult to say what women want to see in a man at first sight, because just like men are all different, so are women. Different women have different tastes. Wapo watakaokuwa attracted to you due to your confidence, money, looks, style and body language. Pia wapo wanaongalia zaidi physical attraction. Wako watakumind kwa sababu ya macho yako ya blue, meno yako, nywele, n.k. Same to women. Wapo ambao utawambia umewamid kwa sababu ya sura zao still wakakutolea nje. Mwingine utamwambia umependa vidole vyake vya miguu anakuzimia.
Even personality-wise, some personality characteristics may be attractive to one woman, but irritating to another. Just focus on being yourself, and you'll find a woman who is attracted to you, not just some general, pseudo-you version of yourself that you've concocted to attract female carbon-based units. Na hii ndio maana inasabanisha mahusino mengi kuvunjika. Binti anaingia line akifikiri you're the real one, only to realise later that you're not actually the one she just met on the bus few days ago, pale tuu utakapoanza kuwa the real you.
Your shoes might catch a girl's eye quicker, but that's not necessarily a good thing. You want a girl to like who you really are, not a girl that is only in love with your shoes. Kama wewe ni Hashycool then be Hashycool; not Klorokwini.