Wadada tunaopenda savvana tukutane hapa

Hayo madude yanawakausha papuchi na kutoa harufu mnaishia kupigwa na kukimbiwa mkibaki kutafuta mchawi nani.
 
Na safari ndogo
 
Wadada hatupendi vinywaji vikali na vyenye ladha kali au mbaya wengi tunafurahia uwepo wa savvana.

Nakipenda kinywaji hiki jaman nawakaribisha wadada wa Jf muanze kutumia.
Nilikuona mahali mida flani hivi.....
Ebu ngoja nimalizie kinywaji changu hapa Rose Garden, then nikuje hapo...[emoji39] [emoji39]
 
Hayo madude yanawakausha papuchi na kutoa harufu mnaishia kupigwa na kukimbiwa mkibaki kutafuta mchawi nani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]inaongeza msisimko ukiwa na Baby wako inakausha wapi huo ni wivu wako
 
Wadada hatupendi vinywaji vikali na vyenye ladha kali au mbaya wengi tunafurahia uwepo wa savvana.

Nakipenda kinywaji hiki jaman nawakaribisha wadada wa Jf muanze kutumia.
Nilikuona mahali mida flani hivi.....
Ebu ngoja nimalizie kinywaji changu hapa Rose Garden, then nikuje hapo...[emoji39] [emoji39]
 
Ladha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo

Napenda zaidi amarula
Amarula......[emoji15] [emoji15]
Kumbe ndiomaana......[emoji23] [emoji23]
 
[emoji7][emoji23] eti DESPERADOS kweli wee utakua mtaalam wa viwanja bado kuna moja inaitwa AMSTEL BEER Ni shidah

Ila Serengeti lite imeharibu soko la imported beer
 
Ladha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo

Napenda zaidi amarula
Ohooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…