Mi mzima mamaaMmh pole dear ila inakiharufu chake hiviii hakina jinaa.....
Nimekumiss pia sema now nipo busy mnoo hata muda wa kuingia humu nakosa , vipi mzima??
Hahaha a.c nashindwaga kuvumilia hewa yakeTeam popo mm mwenyewe joto niliamka kuwasha ac
Karibu supu ya mkia hapa Dear Mama....[emoji39] [emoji39][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbege
Nimesha kutumia piemNitumie picha
Skuhizi Dodoma raha sana...[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Yeah i proved that to be trueLadha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo
Napenda zaidi amarula
Sweery Namaqua ni habari nyingine.Hiyo naipenda ukiwa maeneo kama boat party
Na jioni wakuchoma wanapatikana pale chako ni chako......[emoji39] [emoji39] [emoji39]Kuku wa kienyeji
afadhali unywe maji tu maana hata yule jama anayetaka kukuchukua rasmi muda wowote nasikia hataki kabisa kilevi chochote heri yako hata hivyo unene pia ungekuwa bonge zaidimi nakunywa maji tu
Wanaume wa Dar ndio kinywaji Chao hiko usiwakaribishe wadada wa jf tuu pekee.