nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 934
Atleast we mjanjaLadha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo
Napenda zaidi amarula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atleast we mjanjaLadha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo
Napenda zaidi amarula
Mm sitaki kusikia my woman anakunywa pombe. Maana mm pombe situmii af mapombe ni machungu sana. Nikimuona gal anakunywa pombe naona ni mwanamke mwenye roho ngumu na mbaya. I can't entertain herHeee!yani kunywa mara mbili kwa mwaka ni mbaya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu mimi sio mnywaji....dance flow ndiyo ugonjwa wangu.
Nachezaga hadi matangazo ya DJ.
Nini Ney.... Nacheza ile mbaya nikishatoa aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifurahisha sana nimekumbuka mbali mnoNini Ney.... Nacheza ile mbaya nikishatoa aibu
Haha...Umenifurahisha sana nimekumbuka mbali mno
Hapana aiseeh ila nimemkumbuka rafiki yangu mmoja alikuwa anapenda kuingia dancing flow akiwa na mdogo wake wanacheza balaah wameshalewa kutoka hawataki mpaka watolewe jamani pombe hizi, basi dj nae kwakuchombeza eti haya Kaka kamatia uno la mpenzi wako ahahahaaaaaa wakati ni Kaka na dada.Haha...
Na wewe ndiyo zako nini ukishaingia Dance flow hauambiliki
Hahah... Niitie espy basi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji1]Hapana aiseeh ila nimemkumbuka rafiki yangu mmoja alikuwa anapenda kuingia dancing flow akiwa na mdogo wake wanacheza balaah wameshalewa kutoka hawataki mpaka watolewe jamani pombe hizi, basi dj nae kwakuchombeza eti haya Kaka kamatia uno la mpenzi wako ahahahaaaaaa wakati ni Kaka na dada.
Amarula sio chungu,sinywagi pombeMm sitaki kusikia my woman anakunywa pombe. Maana mm pombe situmii af mapombe ni machungu sana. Nikimuona gal anakunywa pombe naona ni mwanamke mwenye roho ngumu na mbaya. I can't entertain her
Uje DM tuyamalize ila jua sipendiAmarula sio chungu,sinywagi pombe
Whindoeck pia umesahauViwanja kadhaa navyopita kwa sasa naona wadada wengi wanaopendelea bia ukiachana na wapendelea wine, wamehamia kwenye Serengeti light na si Redd's tena.
Ila kuna bia moja inaitwa DESPERADOS nakushauri uijaribu hiyo ipo viwanja vichache kwa hapa bongo ila sehemu yeyote classic hawakosi hiki hususani wanapofika wazungu wazungu.
Ilitaka kupita humo humo kwenye Redd's , Savannah na St. Anna ila hii itakufaa na utaipenda.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapana aiseeh ila nimemkumbuka rafiki yangu mmoja alikuwa anapenda kuingia dancing flow akiwa na mdogo wake wanacheza balaah wameshalewa kutoka hawataki mpaka watolewe jamani pombe hizi, basi dj nae kwakuchombeza eti haya Kaka kamatia uno la mpenzi wako ahahahaaaaaa wakati ni Kaka na dada.