Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Huyu jamaa anasema ni DJMatangazo ya DJ Sepetu huyu wa humu...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
.. Wenzake sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa anasema ni DJMatangazo ya DJ Sepetu huyu wa humu...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama ni mgeni unaweza kusema huyu jamaa ananinywesha akanifanyizie nini...maana utapiga tatu nipo glass moja.Eee afadhali asee
Ushatoka Dom m niko hapa malaika loungeAirport pub morogoro
Siku tukiwa wote na Asprin tunaenda sawaKama ni mgeni unaweza kusema huyu jamaa ananinywesha akanifanyizie nini...maana utapiga tatu nipo glass moja.
Huyu jamaa mtaenda sawa....kwenye vilaji.Siku tukiwa wote na Asprin tunaenda sawa
Nakupenda sana ila kama ww ni mlevi basi tenaaLadha ya savanna na saint Anna huwa naona zinaelekeana...hazinivutii
Japokuwa sijawahi kunywa mikojo,ila huwa nahisi zina ladha ya mikojo
Napenda zaidi amarula
Hahahhh ivi ni mlevi sana e?Huyu jamaa mtaenda sawa....kwenye vilaji.
Ila siunajua pale kati hapachezeki mwenyewe.
Mi sio mlevi mkuuNakupenda sana ila kama ww ni mlevi basi tenaa
Mara paaap kaja nakukana walaiHahahhh ivi ni mlevi sana e?
Hahahh si anaona ulichoandika sasaMara paaap kaja nakukana walai
Tusianze justification za kuanza kumjua mlevi ni nani na mnywaji ni nani. As long as unatumia alcohol, am no longer with u madame unless u changeMi sio mlevi mkuu
Desperado ndio iko kwenye chupa kama ya redd' ya chupa??Viwanja kadhaa navyopita kwa sasa naona wadada wengi wanaopendelea bia ukiachana na wapendelea wine, wamehamia kwenye Serengeti light na si Redd's tena.
Ila kuna bia moja inaitwa DESPERADOS nakushauri uijaribu hiyo ipo viwanja vichache kwa hapa bongo ila sehemu yeyote classic hawakosi hiki hususani wanapofika wazungu wazungu.
Ilitaka kupita humo humo kwenye Redd's , Savannah na St. Anna ila hii itakufaa na utaipenda.
Heee!yani kunywa mara mbili kwa mwaka ni mbaya?Tusianze justification za kuanza kumjua mlevi ni nani na mnywaji ni nani. As long as unatumia alcohol, am no longer with u madame unless u change
Angalizo " pombe hukimbilia chini sio man sio demu "Mlevi ana bwia kila siku na anahakikisha ana lewa mpaka kuondoka ni shida! Mwaji hanywi kila siku ila ana viwango kama akitaka kumywa
BLack ice au vodka[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Pia kuna nyingine inaitwa sminoff ice nayo nzuri sana jamani ...