Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kumekuwa na kelele nyingi kwenye mahusiano; wengine wanasema bila hela hawataki mahusiano, na wengine wanasema bila kuridhishwa hawataki mahusiano. Sasa leo; naomba mtupe majibu, kwa sababu kuna wanaume wengine walijikita kwenye kutafuta hela na wakazipata, lakini mwisho wa siku mahusiano yao yakawa sio mazuri.
Haya wadada tupeni majibu; Je kwenye mahusiano, mnataka hela au mnataka penzi?
Haya wadada tupeni majibu; Je kwenye mahusiano, mnataka hela au mnataka penzi?