Wadada tusaidieni, mnataka nini?

Wadada tusaidieni, mnataka nini?

Naomba niwasaidie kidogo kujibu
Lakini pia ntakuuliza swali wewe mwenyewe
Je inawezekana kutenganisha pesa na maisha?
Yani uishi tu hapo dar au popote bila ya pesa?
Na je utaweza kutenganisha mapenzi na maisha? Yaani uishi tu bila ya mapenzi hapa duniani?
Jibu ni hapana
Kwahyo basi huwezi kutenganisha pesa na mapenzi...
Wajibu wa mwanaume yeyote ni kutafuta pesa!
Usijifariji kua kuna maisha bila ya pesa!
Usijifariji kua kuna mwanamke atakaa na wewe mmelala tu ndani atakula(utakula nini)?
Tafuta pesa...kila siku na kila wakati
Mpate dada mmja smart muelewe akuelewe
Leo unayo good tule,tuvae,watoto wameenda shule ..lakini pia tu save ili kesho tuwe na maendeleo
Hiyo ndio maana ya maisha!
Huyo anaelingia tako na makucha bandia ...atakupigavmizinga hadi nywere zipunyuke....na nyuzi kama hizi hazitakauka
Ila ukimpata mtu smart utaamka wewe mwenyewe kutafuta
Mkuu tafuta pesa as a man!
You’re the header
You’re the controller
Kila kitu kitakuhusu!
[emoji123][emoji123] hii ndio jumla ya maneno yote..
 
Part One,ngoja nipitie huenda nkipata maarifa,viumbe hawa hawaeleweki
IMG-20220113-WA0013.jpg
 
[emoji1787][emoji1787] wanasemaga mwanamke mzuri kama hana akili zitakazoumia ni seem za siri
Hamna lolote wanawaonea wivu tuu wanawake wazuri na waliobarikiwa tako. Kwanza mbususu haina makombo na ukumbuke bichwa lako limepita hapo sasa hako kakichwa kako cha mgegedo kataweza leta madhara gani makubwa?
 
Kwa hali hiyo mkuu, utakuwa unajiridhisha mwenyewe, ukiondoka naye anaenda kwa jirani kumaliza hasira
Sio kweli....na sina maana kua unajiangalia ww namaanisha misingi ya kuishi na mwanamke ww ndo uko responsible kujua unataka uishi nae vp..sio yeye ,time to Man up mkuu
 
Back
Top Bottom