Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tunaishi kwa kusaidiana mawazo mkuuKILA watu wapambane na HALI zao
Wengine wanataka hela mkuu, kwa ujumla hawaelewekiWanapenda kupitishiwa ulimi au ubaridi kule ikulu au topeni
Vyote ni muhimu mkuuNaomba niwasaidie kidogo kujibu
Lakini pia ntakuuliza swali wewe mwenyewe
Je inawezekana kutenganisha pesa na maisha?
Yani uishi tu hapo dar au popote bila ya pesa?
Na je utaweza kutenganisha mapenzi na maisha? Yaani uishi tu bila ya mapenzi hapa duniani?
Jibu ni hapana
Kwahyo basi huwezi kutenganisha pesa na mapenzi...
Wajibu wa mwanaume yeyote ni kutafuta pesa!
Usijifariji kua kuna maisha bila ya pesa!
Usijifariji kua kuna mwanamke atakaa na wewe mmelala tu ndani atakula(utakula nini)?
Tafuta pesa...kila siku na kila wakati
Mpate dada mmja smart muelewe akuelewe
Leo unayo good tule,tuvae,watoto wameenda shule ..lakini pia tu save ili kesho tuwe na maendeleo
Hiyo ndio maana ya maisha!
Huyo anaelingia tako na makucha bandia ...atakupigavmizinga hadi nywere zipunyuke....na nyuzi kama hizi hazitakauka
Ila ukimpata mtu smart utaamka wewe mwenyewe kutafuta
Mkuu tafuta pesa as a man!
You’re the header
You’re the controller
Kila kitu kitakuhusu!
Tuwasubiri wanakujaNgoja Waje wanaopelekewa moto kuja kutoa majibu.
Kwa hali hiyo mkuu, utakuwa unajiridhisha mwenyewe, ukiondoka naye anaenda kwa jirani kumaliza hasiraUkitegemea mdada anachotaka yeye basi utapuyanga na utaachwa tu unalia...unatakiwa mwanaume ww ndo ujue unataka nini,full stop
Kwa ujumla, wengi wanataka nini?Kila mtu ana moyo wake. Hakuna kitu kimoja ambacho wadada wote wanataka...achana na wengine we jikite katika kujua wa kwako anataka nini
Lakini bro hawa wenye tako ndio wazuri kwa kuwageggeda inabidi tuwe nao tuu hamna jinsiNaomba niwasaidie kidogo kujibu
Lakini pia ntakuuliza swali wewe mwenyewe
Je inawezekana kutenganisha pesa na maisha?
Yani uishi tu hapo dar au popote bila ya pesa?
Na je utaweza kutenganisha mapenzi na maisha? Yaani uishi tu bila ya mapenzi hapa duniani?
Jibu ni hapana
Kwahyo basi huwezi kutenganisha pesa na mapenzi...
Wajibu wa mwanaume yeyote ni kutafuta pesa!
Usijifariji kua kuna maisha bila ya pesa!
Usijifariji kua kuna mwanamke atakaa na wewe mmelala tu ndani atakula(utakula nini)?
Tafuta pesa...kila siku na kila wakati
Mpate dada mmja smart muelewe akuelewe
Leo unayo good tule,tuvae,watoto wameenda shule ..lakini pia tu save ili kesho tuwe na maendeleo
Hiyo ndio maana ya maisha!
Huyo anaelingia tako na makucha bandia ...atakupigavmizinga hadi nywere zipunyuke....na nyuzi kama hizi hazitakauka
Ila ukimpata mtu smart utaamka wewe mwenyewe kutafuta
Mkuu tafuta pesa as a man!
You’re the header
You’re the controller
Kila kitu kitakuhusu!
Moto na hela, au kuna kingine mkuu?vyote mkuu
Sijachunguza kuhusu hiloKwa ujumla, wengi wanataka nini?
Inabidi kuishi kwa kubahatisha mkuuHaya mambo hayana muongozo
Fanya kile roho inapenda