Wadada tusikae kimya lazma tukemee hapa tunadhalilishwa

tuwapeni muda wa kupona majeraha yao jamani,
tunavyoendelea kuwadiscuss hatubadilisha ukweli kuwa jaffarai kamdhalilisha mwenzie,wala hatumponyeshi majeraha shy ya kudhalilishwa...sana sana ndio kwanza tunapalilia moto kwenye vidonda vyao! i hope shy atamsamehe jaffarai na kuona kwamba amefanya huo ujinga kwa sababu ameumia sana na amefeel betrayed kwa mtu aliyekuwa anamuamini.:coffee:
 
Huyu hajawahi kuachana na mpenzi mpaka afikie kutangaza kuachana kwake na Shy!! au kwa vile anafikiria ataishi vipi? Kumsema kote dada wa watu iko siku atajuta na atataka kurudi aombe msamaha, sijui ataenda vipi.
 
Yaani ulivyoiweka!!!
akuna cha kuongeza ila dokezo tu la tofauti kubwa ya umri na exposure kati yao!!
yani ni kituko cha mji!!!
Laakini bora wameachana Shy aendelee sasa kufanya kazi
 
Lakini tuangalie pande zote mbili hivi huyu Shyr alitegemea kuvuna nini kwa kitoto kile...!?
MadamT mbona unauliza majibu? Sifa kuu ya viserengetiboys ni kuingia chumvini hadi sugamami anachizika! Hivi ulikuwa hujui kwa nini wanamuziki wa kizaire wanatunyang'anya wake zetu?
 
MadamT mbona unauliza majibu? Sifa kuu ya viserengetiboys ni kuingia chumvini hadi sugamami anachizika! Hivi ulikuwa hujui kwa nini wanamuziki wa kizaire wanatunyang'anya wake zetu?

kuumbeee!!!
 
Ingawa binafsi simpendi Shy Rose ila huyu Jaffarai ndo kichefuchefu kabisa....yani demu ako anamegwa na Sugu unakimbilia kuanzisha vita na Sugu badala ya demu ako ambaye ndo mna mkataba wa mapenzi????
Ila nimesikia ni issue ya kisiasa ikiwa na lengo la kumchafua Sugu. Na clouds wameipa uzito kutokana na bifu lao na Sugu ktk mradi wa Malaria Haikubaliki.
Dada Marytina huyu mwanaume kama binti ametudhlilisha sisi wanaume kuliko alivyowadhalilisha nyie wanawake, tumuonee huruma hajui nani atamtoa na hela za bia!!!
 
MADAM T wewe umebakiza mingapi utulete kitrajiwa AU MACHOYANGU tu

NTINGINYA hiki kitu ndio kilivyo January to December hakina mtu ndani ni minyamanyama na mifuta tu hiyo...
 
MadamT mbona unauliza majibu? Sifa kuu ya viserengetiboys ni kuingia chumvini hadi sugamami anachizika! Hivi ulikuwa hujui kwa nini wanamuziki wa kizaire wanatunyang'anya wake zetu?

Aisiiiiii!!! du!!!!!!!!!!!:laugh::laugh::laugh:
 
MadamT mbona unauliza majibu? Sifa kuu ya viserengetiboys ni kuingia chumvini hadi sugamami anachizika! Hivi ulikuwa hujui kwa nini wanamuziki wa kizaire wanatunyang'anya wake zetu?

He! kumbe!
 
Madam T nakuomba nikuombe tena tafazali.

Jamani babu mi nilifikiri umesahau,jamaani mi mbona hiyo ndio naipenda sana, basi nitafutie nyingine, ila uniambie kwanini huipendi
 
taratibu kaka lol. you are becoming provocative.
 
Bifu zinauza jamani si mnaona wenyewe hata PJ na Kimey wanamjua Jafarai sasa !

U-celebu kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…