The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Nimesikitika sana jinsi huyu dogo anavyomchana ex- wake kwenye vyombo vya habari
Aibu zaidi ni clouds kuacha haya yaende live
nadhani ni jukumu la wanawake haswa kupinga huyu dogo na pia lazima akina tamwa walaani tabia ya yule mabange kwenda kuweka vitu live
BTW, shyrose ni easy-go?
Ni kama wiki sasa kwenye magazeti ya udaku habari ikiwa ni SHYROSE-jaffarai
jafffarai anadai ni mchumba wa SHYR kwa miaka minane na walipanga kupata mtoto.
Hivi inaingia akilini miaka minane No mimba bila kasoro?Nijuavyo kama mwanamke una kasoro mwanaume hukuacha haraka kwa hiyo Jeff anamaswali ya kutujibu
JEFF anaende studio anamchana SHYR, clouds fm INAMPAKA TOPE SHYR for personal issues tena ana generalize WANAWAKE.
My take:Jeff kama hatadhibitiwa ataenda clouds Tv nakuonesha nguo za ndani za SHYR hence wanawake wote watadhalilika.Wanaume wanaolelewa lazima wajifunze kujitegemea+nidhamu sio kushinda vijiwe wakila pombe na sigara wakiachika waanza kulialia hadharani na mikwara feki.
SHYROSE anahaki ya kuwa na mtu amtakaye...hilo jeff linaliaaaa
pAULINE VIPI umeshapata mume wakutokukulete bulley kwa watoto?nimependa mchango mmoja kwenye blog moja,
unasema mwanamke akiwa mama wa nyumbani na analelewa hili linaonekana sawa,ila mwanaume akiwa baba wa nyumbani na kulelewa hili linaonekana si sawa mbele ya jamii...kwa nini??? lini tutaachana na hizi stereotypes??? mbona wababa wanatubeba sana sie wanawake na hawalalamiki na kutuita mario nk?:laugh::laugh::laugh::laugh::twitch:
nimependa mchango mmoja kwenye blog moja,
unasema mwanamke akiwa mama wa nyumbani na analelewa hili linaonekana sawa,ila mwanaume akiwa baba wa nyumbani na kulelewa hili linaonekana si sawa mbele ya jamii...kwa nini??? lini tutaachana na hizi stereotypes??? mbona wababa wanatubeba sana sie wanawake na hawalalamiki na kutuita mario nk?:laugh::laugh::laugh::laugh::twitch:
Lakini tuangalie pande zote mbili hivi huyu Shyr alitegemea kuvuna nini kwa kitoto kile...!?
pauline unajua maana ya uanaume? Yaani ukae kabisa nyumbani bila sababu za msingi ulelewe yaani mtoto wa kiume unaamua 2 na unachukulia poa, hiyo jinsia inabidi iondolewe tena pachimbwe kabisa
Penzi tu la damu changa