Wadada! Ukitaka kupiga mzinga ..piga wa maana.

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Habari za jioni wakuu...

Hii mada inawagusu dada zangu ambao wanapenda kupiga vimizinga vidogo vidogo ikiwemo kuanzia elfu kumi kuja chini.
Nasema hii hali ikome maana wengine mnatupa shida ya kufikiria hicho unachokwenda kununua.

Mi binafsi ukija kutaka kunishambulia na SMG, MMG, LMG, ROCKET LAUNCHER na hata RPG bado naona cha mtoto.
Unaweza kuniyumbisha kidoogo ukija na uwezo wa 75mm, 82mm na kuendelea...

Na kitu kingine niwashauri tu, ukiwa umemiliki mwanaume anaejielewa, usipende kupiga vimizinga vya salun mwambie akupe mtaji mfanye biashara acheni upimbi.

Kila vihela vidogo vidogo vinaboa, na wengi wao wanaopenda vimizinga vidogo vidogo ni hao hao wanaojifanya wamemaliza chuo.
Ni bora ukutane na binti aliemaliza darasa la saba na form 4 wanjielewa maana wanapenda kujishufhulisha kwa nguvu zao.
Nawakilisha...
Povu ruksa.
 
Umepigwa mzinga... unaanzaje kuwaza kinachokwenda kununuliwa?? KAMA VIPI USINGOJEE KUPIGWA, WE JIPIGE TU MZINGA WA MAANA BASI... Uone kama atarudisha
 
Mimi siyo nabii ila, unamaisha ya tabu, kula yako ni ya shida, hata mchana umepiga pasi ndefu ndiyo maana imepelekea kuandika ubunuasi kama huu.
 
Mimi siyo nabii ila, unamaisha ya tabu, kula yako ni ya shida, hata mchana umepiga pasi ndefu ndiyo maana imepelekea kuandika ubunuasi kama huu.
Haya karibu tena ...lakini jaribu kupiga mzinga wa maana sio kila siku elfu tano itakusaidia nini.
 
Reactions: sab
Mimi siyo nabii ila, unamaisha ya tabu, kula yako ni ya shida, hata mchana umepiga pasi ndefu ndiyo maana imepelekea kuandika ubunuasi kama huu.
Kwani unapigaga mizinga? Maana hilo povu ni la kimarekani kabisaaa.... AHahahahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…