Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za jioni wakuu...
Hii mada inawagusu dada zangu ambao wanapenda kupiga vimizinga vidogo vidogo ikiwemo kuanzia elfu kumi kuja chini.
Nasema hii hali ikome maana wengine mnatupa shida ya kufikiria hicho unachokwenda kununua.
Mi binafsi ukija kutaka kunishambulia na SMG, MMG, LMG, ROCKET LAUNCHER na hata RPG bado naona cha mtoto.
Unaweza kuniyumbisha kidoogo ukija na uwezo wa 75mm, 82mm na kuendelea...
Na kitu kingine niwashauri tu, ukiwa umemiliki mwanaume anaejielewa, usipende kupiga vimizinga vya salun mwambie akupe mtaji mfanye biashara acheni upimbi.
Kila vihela vidogo vidogo vinaboa, na wengi wao wanaopenda vimizinga vidogo vidogo ni hao hao wanaojifanya wamemaliza chuo.
Ni bora ukutane na binti aliemaliza darasa la saba na form 4 wanjielewa maana wanapenda kujishufhulisha kwa nguvu zao.
Nawakilisha...
Povu ruksa.