Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Utaacha? AhahahahahaaAsante kwa somo
Naachaje sasa kwa mfano ameshatuambia tupige vizinga vya maanaUtaacha? Ahahahahahaa
Dawa yake huyo wote mkampige yeye mizinga ya ki-intaneshinali.... Yeye akiambiwa akipigwa mzinga mtoto atoe mara 200 yake ataweza?Naachaje sasa kwa mfano ameshatuambia tupige vizinga vya maana
Mtu wa hivyo hata mzinga wa elf 30 hatoi anaongea tu hapaDawa yake huyo wote mkampige yeye mizinga ya ki-intaneshinali.... Yeye akiambiwa akipigwa mzinga mtoto atoe mara 200 yake ataweza?
Hahaha.Mtu wa hivyo hata mzinga wa elf 30 hatoi anaongea tu hapa
Hivi hamuwezagi kujipiga jeki wenyewe mpaka boyfriend/ mme akuwezeshe?? Nyie ni vilema msiojiweza au?? Kwa nini huwapi wenzio ushauri wapambane, waache kuwa tegemezi??Habari za jioni wakuu...
Hii mada inawagusu dada zangu ambao wanapenda kupiga vimizinga vidogo vidogo ikiwemo kuanzia elfu kumi kuja chini.
Nasema hii hali ikome maana wengine mnatupa shida ya kufikiria hicho unachokwenda kununua.
Mi binafsi ukija kutaka kunishambulia na SMG, MMG, LMG, ROCKET LAUNCHER na hata RPG bado naona cha mtoto.
Unaweza kuniyumbisha kidoogo ukija na uwezo wa 75mm, 82mm na kuendelea...
Na kitu kingine niwashauri tu, ukiwa umemiliki mwanaume anaejielewa, usipende kupiga vimizinga vya salun mwambie akupe mtaji mfanye biashara acheni upimbi.
Kila vihela vidogo vidogo vinaboa, na wengi wao wanaopenda vimizinga vidogo vidogo ni hao hao wanaojifanya wamemaliza chuo.
Ni bora ukutane na binti aliemaliza darasa la saba na form 4 wanjielewa maana wanapenda kujishufhulisha kwa nguvu zao.
Nawakilisha...
Povu ruksa.
Mkuu mi ni me naona maandishi yako yanamlenga mtoa mada kuwa ni ke au umemkusudia Shunie?Hivi hamuwezagi kujipiga jeki wenyewe mpaka boyfriend/ mme akuwezeshe?? Nyie ni vilema msiojiweza au?? Kwa nini huwapi wenzio ushauri wapambane, waache kiwa tegemezi??
50-50 itaendelea kuwa ndoto sababubya mentality ya wanawake wa type yako.
Hayajamlenga mtu yoyote, nimeyaandika kutokana na nilivyosoma yaliyomo.Mkuu mi ni me naona maandishi yako yanamlenga mtoa mada kuwa ni ke au umemkusudia Shunie?