Wadada! Ukitaka kupiga mzinga ..piga wa maana.

Wadada! Ukitaka kupiga mzinga ..piga wa maana.

Naachaje sasa kwa mfano ameshatuambia tupige vizinga vya maana
Dawa yake huyo wote mkampige yeye mizinga ya ki-intaneshinali.... Yeye akiambiwa akipigwa mzinga mtoto atoe mara 200 yake ataweza?
 
Habari za jioni wakuu...

Hii mada inawagusu dada zangu ambao wanapenda kupiga vimizinga vidogo vidogo ikiwemo kuanzia elfu kumi kuja chini.
Nasema hii hali ikome maana wengine mnatupa shida ya kufikiria hicho unachokwenda kununua.

Mi binafsi ukija kutaka kunishambulia na SMG, MMG, LMG, ROCKET LAUNCHER na hata RPG bado naona cha mtoto.
Unaweza kuniyumbisha kidoogo ukija na uwezo wa 75mm, 82mm na kuendelea...

Na kitu kingine niwashauri tu, ukiwa umemiliki mwanaume anaejielewa, usipende kupiga vimizinga vya salun mwambie akupe mtaji mfanye biashara acheni upimbi.

Kila vihela vidogo vidogo vinaboa, na wengi wao wanaopenda vimizinga vidogo vidogo ni hao hao wanaojifanya wamemaliza chuo.
Ni bora ukutane na binti aliemaliza darasa la saba na form 4 wanjielewa maana wanapenda kujishufhulisha kwa nguvu zao.
Nawakilisha...
Povu ruksa.
Hivi hamuwezagi kujipiga jeki wenyewe mpaka boyfriend/ mme akuwezeshe?? Nyie ni vilema msiojiweza au?? Kwa nini huwapi wenzio ushauri wapambane, waache kuwa tegemezi??
50-50 itaendelea kuwa ndoto sababubya mentality ya wanawake wa type ya mwanamke mwenye mtazamo huu.
 
Hivi hamuwezagi kujipiga jeki wenyewe mpaka boyfriend/ mme akuwezeshe?? Nyie ni vilema msiojiweza au?? Kwa nini huwapi wenzio ushauri wapambane, waache kiwa tegemezi??
50-50 itaendelea kuwa ndoto sababubya mentality ya wanawake wa type yako.
Mkuu mi ni me naona maandishi yako yanamlenga mtoa mada kuwa ni ke au umemkusudia Shunie?
 
Wa mbili ni wa mbili havai mojs. Mtu kama level yake ni 10k hawezi kukuomba 1m, hata mtoaji inawwzekana muombaji anakuona wewe ni wa 10k akikuomba 1m atakukimbiza.

Sio kila mtu anaweza kuwa mfanyabiashara kwahio sio lazima wakuombe msaada ila ingependeza kama wewe ni wa aina hio usome alama za nyakati ujiongeze. Yaani ukiona anakupiga mzinga usimpe samaki mpe ndoano na kumfundisha kuvua samaki.
 
Back
Top Bottom