Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Aiseee ktk ujibuji zingatieni hatutoi siri za kambi si mnaelewa kilichompataga yule kambare wa hamida aliegaragara akilia hamida kaniacha..πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa wandugu tuzingatie ujibuji heri lawama kuliko fedhea..πŸ˜…
Hahahah fact mkuu
 
Heshima kwako sana Kasie matata, ila bado tunarud pale pale hakuna mwanaume anachukulia swala la kuchapiwa normal labda na mimi tuwekeane makubaliano kwamba kila mtu acheat ila tuwaangalie watoto ndo hcho tu.

Eti Papaa007 nikubali kuchapiwa na kutoa hela hyo ni dalili la kupigwa Ndumba[emoji19]
 
Bado.

Swali la nyongeza kwa ndugu wajumbe....

Kwanini mkiletewa mtoto wa nje ya ndoa mnakuwa mbogo wakati na nyie mnaacha chata kibao kitaani?!
Hii kitu ni nature! Mwanaume ni natural Polyggmy. Hivyo mwanaume kuzalisha wanawake wengine mbali na aliyenaye sio tatizo ila mwanamke sio na wala sio nature yake kuwa polygamy. Hivyo matokeo lazima yawe hasi ni sawa na mfumo wa food chain kwenda kinyume.
 
Ila akina Dada hakikisheni kabla sijakuoa chuchu ziniangalie mimi usoni zisiwe na aibu zikaanza kuangalia viatu vyangu

sijui nimeeleweka ?
Yaani zisiwe NDALA ....
 
Sitayaona kabisa wallah...

Hata nikiyaona ntazuga sijaona...

Wivu sina ila roho inauma...
 
Majibu ni Kama ifuatavyo.
1.tamaa tu

2.alipoenda kakosa alichokidhania kipo, mwanaume wa namna hyo ni mtumwa wa hisia zake....hayupo ktk kundi la ma gentleman.

3.huyo mpumbavu Hana tofauti na anaekimbia kivuli chake Kwenye jua...anatafuta slope,kulelewa na huyu huenda akawa na hormones za kike,hayupo Kwenye kundi la ma gentleman.

4. Kuna maswali mengine
 
Asante kwa majibu mazuri na mjaribu nikiwa na swali lingine nitaku tag
 
Hii imenichesha sana.

Nlkuwa cjui ukitenganishwa makalio upepo ukapasua pale kati eeenh .. Unachelewa kumwaga .(hahahaa so stupid)

uyo dem n mse... Alkuwa anakuchota mkuu ,ili siku nyingine auparaze utako wako bila pngamizi

Lakin embu
Wajuz wa mambo embu tuambien hii kitu n kwer upepo ukipasua kwenye utako kati pale unachelewa ?
Inaweza ikawa na ukwer sema mm sijui tu
 

1. Sio wote (Binafsi napenda kuangalia miguu kuliko makalio.)
2. Sio wote
3. Sio wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…