Trouton
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,203
- 1,381
thanks 😘, ni uwezo wa kujizuia au kusubiria ndio wengi unawashindaYou are one in a million[emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks 😘, ni uwezo wa kujizuia au kusubiria ndio wengi unawashindaYou are one in a million[emoji8]
Hahahah fact mkuuAiseee ktk ujibuji zingatieni hatutoi siri za kambi si mnaelewa kilichompataga yule kambare wa hamida aliegaragara akilia hamida kaniacha..😂😂
Sasa wandugu tuzingatie ujibuji heri lawama kuliko fedhea..😅
Eti nin?Wakati ni raha sanaaaaaa kushikwa makalio
Heshima kwako sana Kasie matata, ila bado tunarud pale pale hakuna mwanaume anachukulia swala la kuchapiwa normal labda na mimi tuwekeane makubaliano kwamba kila mtu acheat ila tuwaangalie watoto ndo hcho tu.Hayo maumivu muwe mnayaweka kwenye koromeo hapo shingoni. Hiyo ni pain box kwenu wanaume na msiache maumivu ya kuchapiwa yawapelekeshe mkafanya maamuzi magumu.
Haha kama tunawachit nyie mtupende tuu na kutupa hela na mavitu matamu matamu, hakika mtafurahia dunia pasi us machungu mnayopitia.
Much love to you men, to me wanaume ni washkaji zangu sana, marafiki zangu sana, wapenzi wangu tangu juzi jana leo kesho kesho kutwa na mtondo mtondogoo na milele daima dumu. Mahaba yangu kwenu hayana kususa hata kama mnatuchiti.
Kitachonifarakanisha na wanaume ni kutumia nguvu zao bin mabavu kudhihirisha hasira juu ya mwanamke.
Maneno haya asiyasome malabuku Asprin
Hii kitu ni nature! Mwanaume ni natural Polyggmy. Hivyo mwanaume kuzalisha wanawake wengine mbali na aliyenaye sio tatizo ila mwanamke sio na wala sio nature yake kuwa polygamy. Hivyo matokeo lazima yawe hasi ni sawa na mfumo wa food chain kwenda kinyume.Bado.
Swali la nyongeza kwa ndugu wajumbe....
Kwanini mkiletewa mtoto wa nje ya ndoa mnakuwa mbogo wakati na nyie mnaacha chata kibao kitaani?!
Ndio... I'm the one among them..Je kuna mwanaume anaweza kuwa na girlfriend sasa hivi bila kuhitaji sex from her
Yaani zisiwe NDALA ....Ila akina Dada hakikisheni kabla sijakuoa chuchu ziniangalie mimi usoni zisiwe na aibu zikaanza kuangalia viatu vyangu
sijui nimeeleweka ?
Oh really?Ndio... I'm the one among them..
Yes off course. I give you my word.Oh really?
Sitayaona kabisa wallah...Hayo maumivu muwe mnayaweka kwenye koromeo hapo shingoni. Hiyo ni pain box kwenu wanaume na msiache maumivu ya kuchapiwa yawapelekeshe mkafanya maamuzi magumu.
Haha kama tunawachit nyie mtupende tuu na kutupa hela na mavitu matamu matamu, hakika mtafurahia dunia pasi us machungu mnayopitia.
Much love to you men, to me wanaume ni washkaji zangu sana, marafiki zangu sana, wapenzi wangu tangu juzi jana leo kesho kesho kutwa na mtondo mtondogoo na milele daima dumu. Mahaba yangu kwenu hayana kususa hata kama mnatuchiti.
Kitachonifarakanisha na wanaume ni kutumia nguvu zao bin mabavu kudhihirisha hasira juu ya mwanamke.
Maneno haya asiyasome malabuku Asprin
Sababu ngono kwa mwanaume ni sehemu ya starehe na pia ni sehemu ya uzaziKwa nini wanaume mnapenda ngono sana hata kwa wiki mfululizo
Majibu ni Kama ifuatavyo.1. Kwanini mnapenda kuangalia makalio ya wanawake?
2. Kwanini mkiachana na mwanamke huwa mnarudi nyuma Tena kutaka mrudiane huwa mnamaanisha au?
3. Kwanini huwa mnatekeleza familia zenu au watoto wenu wa damu ni kwamba hamna hisia au ujinga au hamna uchungu?
Yangu ni hayo tu
Asante kwa majibu mazuri na mjaribu nikiwa na swali lingine nitaku tagMajibu ni Kama ifuatavyo.
1.tamaa tu
2.alipoenda kakosa alichokidhania kipo, mwanaume wa namna hyo ni mtumwa wa hisia zake....hayupo ktk kundi la ma gentleman.
3.huyo mpumbavu Hana tofauti na anaekimbia kivuli chake Kwenye jua...anatafuta slope,kulelewa na huyu huenda akawa na hormones za kike,hayupo Kwenye kundi la ma gentleman.
4. Kuna maswali mengine
Hii imenichesha sana.Kitu ambacho nakiogopa nikiwa na mwanamke tunagegedana ni kushikwa makalio[emoji1][emoji1]
Yaani huwa sijui nawaza nini tu....
Kuna demu mmoja wakati tunagegeda alishika makalio yangu akayapanua ili upepo upite nichelewe kumwaga
Aiseee!!nilimumaindi sana.
Usijali unakaribishwa..Asante kwa majibu mazuri na mjaribu nikiwa na swali lingine nitaku tag
1. Kwanini mnapenda kuangalia makalio ya wanawake?

Bado.
Swali la nyongeza kwa ndugu wajumbe....
Kwanini mkiletewa mtoto wa nje ya ndoa mnakuwa mbogo wakati na nyie mnaacha chata kibao kitaani?!