Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Ukiwa unatongoza demu pale Sasa bahati shuzi likakutoka

Utafanyaj happy miaka?!
 
Sijui kwanini ila hili swali nishaulizwa na wanawake zaidi ya wanne nahisi kuna mwingine atauliza. So nitajibu in advance.

Swali lenyewe ni "Mkisimamisha hua ni kwavile mnataka ngono?"

Jibu ni "Hapana. Kusimamisha kwa sisi wanaume siyo lazima kumaanisha tunataka ngono mfano naweza nikawa kwenye daladala ghafla nikasimamisha, au nikaamka huku nimesimamisha. Sometime nakua sina kazi nimejilaza kitandani na uume wangu utasimama ni kama unaniambia 'Uko lonely hebu cheza na mimi' so jibu lake ni hilo. Kusimamisha haimaanishi nataka ngono"
Hiyo ni jadi yako😂😂😂
 
Huo ndo ukweli,kwanza makalio ya mwanaume hayako designed kushikwa shikwa.
yah,yani hata ukijikuna unasikia sauti ile ya kwaaah kwaaah kwaaah!!!! kama ya mtu anafagia nje na ufagio wa chelewa
 
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
Kabla ya tendo na baada ya tendo but baada ya tendo inategemea kwn yawezekana utamu uliouona machoni kabla kumbe ndani ni shubiri e.g harufu mbaya ukeni,nk
 
Back
Top Bottom