Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Hivi mwanamke unashika vikalio vya mwanaume kwamba vimekuvutia ? Au ndo unahakikisha kama anajipakaga mafuta ?

Mwanamke ukinishika vikalio naweza mtia ata tusi
Acha hizo Bob
 
Khaaaa nina aleji na chumbani mie.

Ila sebuleni na jikoni utanipata.
Unaogopa nini wakati we ushakuwa mbibi..😜
Haya hata vichakani sasa kwenye mihogo ile ya haraka haraka.. ukitoka hapo kwenye nguo unajikuta na kisamvu mpaka kwenye kufuli..πŸ˜‚πŸ˜‚

Maisha haya dah!..πŸ˜…
 
Mkuu hata kwenye maisha ya kawaida nje ya mahusiano, siku zote ukikipata kitu ulichokua unakihitaji utakua excited mwanzoni tu, lakini baada ya muda thamani ya hicho kitu inapungua ama kupotea kabisa sababu unakua na uwezo wa kuki access muda wowote.
Hivyo hivyo kwenye mahusiano, mwanaume akishakupata, akalala na wewe thamani yako automatically inapungua, ndio maana kwa utafiti wangu usio rasmi wanawake wengi wasoma alama za nyakati huwa wanataka ndoa kwanza ndio watoe asali.

Ukiona mwanaume amemuacha mwanamke halafu amerudi tena rejea kwenye nadharia ya kwanza hapo juu kua thamani ya kitu itaanza kuonekana siku ukikikosa au ukashindwa kuki access kama hapo before,
Pia nje ya hapo kiujumla mwisho wa siku inabaki kua tabia ya mtu mwenyewe, malezi aliyokulia na circle ya watu wanaomzunguka, hasa watu wake wa karibu zaidi (marafiki)
 
Kuna watu wanaona urembo nje wa umri, nilishawahi kuvutiwa na mama mmoja mtu mzima kweli kweli baada ya kukaa nae kama dk 20 tukiongea mambo ya kazi, maisha n.k

Aiseeeh....
 
Ndo tulivyo umbwa nature yetu

We are polygamist in nature
 
Mi naomba kujua mwanamke mtamu ndo yukoje? Na je utamu ni asili, yaani unakuta wala sio mtundu ktk tendo ila tu ni mtamu i mean yyko kawaida tu hana mbwembwe nyingi. Au utundu ndo unafanya awe mtamu.
Utamu wa mwanamke unabebwa na vingi sana, mm kwangu ni muundo wa k (asili).. Mm kuna k nikiiona naweza anza gugumia utamu kabla ya kugegedana
 
1. Sio sawa ni hulka ya kike ( kama jamii tulivyokaririshwa kutokana na nyie kuitumia sana ile salamu mfano dume mwenzangu uniandikie text mambow huo ni umama )


2. Inategemea maana super Mario wanaamia kabisa
Ni sawa kwa mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzie mambo? Tena ile mambo ya kuvuta[emoji23]

Unaweza kwenda kukaa kwa girlfriend wako ilihali you have your place?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naomba kujua mwanamke mtamu ndo yukoje? Na je utamu ni asili, yaani unakuta wala sio mtundu ktk tendo ila tu ni mtamu i mean yyko kawaida tu hana mbwembwe nyingi. Au utundu ndo unafanya awe mtamu.
Mwenye K mnato yenye jotojoto Kali lenye Centigrade kadhaa
Ambayo imejaa mchuzi


Na utamu ni asili

Ila artificially unaweza ukawa mtamu ukileta utundu na mbwembwe mfano kuifinyia kwa ndani

Mengi utayosoma kwenye vitabu na nakala zangu nilizo andika na kufanyia research


Dr papuchi
University of Copenhagen
 
Ni maumivu gani makali ambayo huwa mnayapata na hamtaki kitu kilichosababisha hayo maumivu kirudie?

Tofauti na wanawake, wanazaa kwa uchungu ila utakuta mwanamke anarudia kuzaa watoto hata 4
ila nyie wanawake hamuaminiki usikute hata uchungu mnatuzuga!
hatuwawezi !πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?

Swali gumu sana.Sometimes huwa tunasema kabla ili kupata tunda, tunasema wakati wa tendo kama kiungo cha kupendezesha tunda, na baada ili usijisikie average Jane wa kwenye mapenzi.
Kama wewe ni mtamu utajua tu. Wanaume huwa hatufichi hisia za utamu.Mimi sura yangu huwa inakuwa kama nyani anatafuna mahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…