Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume ushikwe kalio ili iwejeMnajiendekeza tu hakuna lolote
Ngoja nije kuvarifyMie zangu zimetumbua macho kabisa...zinamsubiri muoaji [emoji23]
Me nilishajaribu. The good thing ni kwamba JF anaijua, aliniuliza kwahiyo unataka kupractice unavyovionaga jamii forums 😆Kuna mpenzi wangu aliwahi kushika kalio zangu wakati anakaribia kutia nia...
Baada ya kunishika tu.. nika'stop then reaction yangu ya sura ilimpa majibu, hakurudia tena.
#Angalizo msiende kujaribu kwa watu wenu..
Mambo mengine mkuu ni kununua tu ugomvi, kama mtu ana hamu ya kushika shika si ashike hata kisogo basi kwani lazima ashike makalio, hii ina sound kama revenge [emoji23][emoji23][emoji23] yani pale anaposhika shika kichwani ana imagine unavyomshikaga shikaga.Uwwiiii, mbafu sangu jamaniii aahahahahahahahahahaaaa
Sambi senu wenye mjue khaaa!!
Hahah.. kuna muda huwa mnatafuta kupigwa makofi.Me nilishajaribu. The good thing ni kwamba JF anaijua, aliniuliza kwahiyo unataka kupractice unavyovionaga jamii forums [emoji38]
Siyo kwamba unapaka ukishavaa nguo [emoji23], zile sehemu zinazoonekana kama uso na viganja?Ukiweka mafuta kwenye kiganja unaanza na kifua, tumbo kisha unamalizia kwenye kalio.
Pakeni mafuta jamani
Kuna watu wanaona urembo nje wa umri, nilishawahi kuvutiwa na mama mmoja mtu mzima kweli kweli baada ya kukaa nae kama dk 20 tukiongea mambo ya kazi, maisha n.kMnapata wapi ujasiri wa kutaka mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri? Achaneni na mambo ya AGE IS JUST THE NUMBER.
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!
i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
Sijawahi date na mtu mwenye akili mbovu kama hii yako. Basi nitaacha asee lisije kunikuta jambo bureNtajua unataka nikufanyie kama unavonifanyia ili nipate hamu ya kupita "backdoor"...sure nakwambia ...mi ukinifanyia hivo nakutindua choo
Wanaume hatupendi jumla, huwaga tunapenda nusu nusu!Hv wanaume mnataka nini hasa?
Ukipewa kiuno unamwacha unatafuta mwingine, ukinyimwa pia unamwacha unatafuta mwingine, kwanini?
Mnaanzisha mahusiano ukishapewa mchezo unabadilika, mawasiliano yanapunguzwa au kukatwa kabisa, unajifanya upo busy kupita castoma kea, mwisho wa siku unapotezea kabisa! Chakushangaza baada ya muda iwe i.e mwezi, miezi, mwaka kadhaa unarudi tena pale pale unataka muendelee mlipoishia, kwa nini?
Unataka mwanamke mchapakazi, independent, mwaminifu, mcha Mungu, asiyeomba hela, lkn ukimpata unamchukulia poa, hujali hisia zake, wala humuheshimu, kwa nini?
Hebu jibuni hayo kwanza
Swali hili linapaswa kujibiwa na wanawake wenye umri mkubwa kuliko wapenzi wao. Wanaanzaje kukubali kujianika mbele wa vijana wadogo?Mnapata wapi ujasiri wa kutaka mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri? Achaneni na mambo ya AGE IS JUST THE NUMBER.
Sababu kubwa ni kwamba hadi mwanamke anafikia hatua ya kumtongoza mwanaume maana yake alimpa sign za kumpenda before ila mwanaume aka zi ignore kwa sababu hampendi hivyo kama mwanaume uliyekamilika utamtafuna tu kutimiza haja za mwili. Lakini mwisho wa siku kwa kua humpendi inatumka gia ya umalaya kumuacha (kwamba kama mimi kanitongoza je wangapi huko nje kawatongoza kama mimi) mbali na gia hiyo ya umalaya pia ni issue ya saikolojia mwanaume anaweza kushindwa kuendeleza mahusiano sababu anaweza kua amekosa imani na wewe kwa sababu tu ya kitendo hicho cha kumtongoza since kipo opposite na tamaduni zetu za kiafrikaKwanini mnapotongozwa na mwanamke mnaogopa kuendeleza mahusiano?