Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Kuna mpenzi wangu aliwahi kushika kalio zangu wakati anakaribia kutia nia...

Baada ya kunishika tu.. nika'stop then reaction yangu ya sura ilimpa majibu, hakurudia tena.

#Angalizo msiende kujaribu kwa watu wenu..
Me nilishajaribu. The good thing ni kwamba JF anaijua, aliniuliza kwahiyo unataka kupractice unavyovionaga jamii forums 😆
 
Hivi mwanamke unashika vikalio vya mwanaume kwamba vimekuvutia ? Au ndo unahakikisha kama anajipakaga mafuta ?

Mwanamke ukinishika vikalio naweza mtia ata tusi
 
Ni maumivu gani makali ambayo huwa mnayapata na hamtaki kitu kilichosababisha hayo maumivu kirudie?

Tofauti na wanawake, wanazaa kwa uchungu ila utakuta mwanamke anarudia kuzaa watoto hata 4
 
Uwwiiii, mbafu sangu jamaniii aahahahahahahahahahaaaa

Sambi senu wenye mjue khaaa!!
Mambo mengine mkuu ni kununua tu ugomvi, kama mtu ana hamu ya kushika shika si ashike hata kisogo basi kwani lazima ashike makalio, hii ina sound kama revenge [emoji23][emoji23][emoji23] yani pale anaposhika shika kichwani ana imagine unavyomshikaga shikaga.
 
Hv wanaume mnataka nini hasa?

Ukipewa kiuno unamwacha unatafuta mwingine, ukinyimwa pia unamwacha unatafuta mwingine, kwanini?

Mnaanzisha mahusiano ukishapewa mchezo unabadilika, mawasiliano yanapunguzwa au kukatwa kabisa, unajifanya upo busy kupita castoma kea, mwisho wa siku unapotezea kabisa! Chakushangaza baada ya muda iwe i.e mwezi, miezi, mwaka kadhaa unarudi tena pale pale unataka muendelee mlipoishia, kwa nini?

Unataka mwanamke mchapakazi, independent, mwaminifu, mcha Mungu, asiyeomba hela, lkn ukimpata unamchukulia poa, hujali hisia zake, wala humuheshimu, kwa nini?

Hebu jibuni hayo kwanza
 
Na kweli uanze Kasie hili siyo jambo dogo, unapaka mafuta ili iwaje?

Tufanye ukaguzi uanze kwa kufuata Alphabetical order.

Haya, wenye majina ya A wote wageuke tayari kwa ukaguzi, aahahahahahahhaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Mnapata wapi ujasiri wa kutaka mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri? Achaneni na mambo ya AGE IS JUST THE NUMBER.
Kuna watu wanaona urembo nje wa umri, nilishawahi kuvutiwa na mama mmoja mtu mzima kweli kweli baada ya kukaa nae kama dk 20 tukiongea mambo ya kazi, maisha n.k
 
Ntajua unataka nikufanyie kama unavonifanyia ili nipate hamu ya kupita "backdoor"...sure nakwambia ...mi ukinifanyia hivo nakutindua choo
Sijawahi date na mtu mwenye akili mbovu kama hii yako. Basi nitaacha asee lisije kunikuta jambo bure
 
Hv wanaume mnataka nini hasa?

Ukipewa kiuno unamwacha unatafuta mwingine, ukinyimwa pia unamwacha unatafuta mwingine, kwanini?

Mnaanzisha mahusiano ukishapewa mchezo unabadilika, mawasiliano yanapunguzwa au kukatwa kabisa, unajifanya upo busy kupita castoma kea, mwisho wa siku unapotezea kabisa! Chakushangaza baada ya muda iwe i.e mwezi, miezi, mwaka kadhaa unarudi tena pale pale unataka muendelee mlipoishia, kwa nini?

Unataka mwanamke mchapakazi, independent, mwaminifu, mcha Mungu, asiyeomba hela, lkn ukimpata unamchukulia poa, hujali hisia zake, wala humuheshimu, kwa nini?

Hebu jibuni hayo kwanza
Wanaume hatupendi jumla, huwaga tunapenda nusu nusu!
 
Kwanini mnapotongozwa na mwanamke mnaogopa kuendeleza mahusiano?
Sababu kubwa ni kwamba hadi mwanamke anafikia hatua ya kumtongoza mwanaume maana yake alimpa sign za kumpenda before ila mwanaume aka zi ignore kwa sababu hampendi hivyo kama mwanaume uliyekamilika utamtafuna tu kutimiza haja za mwili. Lakini mwisho wa siku kwa kua humpendi inatumka gia ya umalaya kumuacha (kwamba kama mimi kanitongoza je wangapi huko nje kawatongoza kama mimi) mbali na gia hiyo ya umalaya pia ni issue ya saikolojia mwanaume anaweza kushindwa kuendeleza mahusiano sababu anaweza kua amekosa imani na wewe kwa sababu tu ya kitendo hicho cha kumtongoza since kipo opposite na tamaduni zetu za kiafrika
 
Back
Top Bottom