Wadada vs Wanaume

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
WASICHANA WAKICHAT
MDADA1; Mambo kipenzi, nimekumiss dear
MDADA2; poa lov, nimekumiss pia
Niliiona pc ulopost fb its so cute
MDADA1; Asante dear namii nimeona umempost upo na shem, u look so cute 2gther, weekend hii upo home nikutembelee
MDADA2; Whaoo asante my love. Weekend nipo njoo ntakuandalia pancakes km kawaida yangu
MDADA1; thats my girl, nikiwa nakuja ntakucall my
MDADA2; Waiting for u. Bye love
BAADA YA CHATTING
MDADA1; huyu mwehu anajichetua sikuizi, tangu nimsifie anajua kupika pancakes basi ndo anaringishiaaa (msonyoooo)
MDADA2; hee huyu shogaangu mroho balaa kwanza anamdomo simpend kama nini. Naomba hata asije
CHATING ZA WAKAKA
KAKA1; We choko upoo, umepotea sana hewani ulivyo fala najua ushahonga simu
KAKA2; Achana na mimi we bwege, nani ahonge simu we fala nini
KAKA1; Naona hupatikani hewani nikajua huyu mjinga kashaingizwa mjini,
Sasa weekend wapi
KAKA2; Simu ilizingua af maza alikuwa anaumwa mzeya
KAKA1; Basi mimi nipo hapa samakisamaki njoo na tumbo lako tu nina kreti 2 full
KAKA2; Poa mzee ngoja nijiandae hapa najua we bwege mkeka ushatick
BAADA YA CHATING
MKAKA1; This guy is so cool, yani tukipiga stori naonaga nipo na bonge la genious
MKAKA2; Yani huyu rafiki angu ndo best friend ninayemtegemea ana roho nzuri sana.
Moral of the story;
Wadada wengi ni wanafiki wanachat kama marafiki kweli kumbe moyoni wanachukiana.
Wakaka wengi wanachat kama hawapendani lakini mioyoni ndo wanapendana na kusapotiana[emoji124][emoji119]
 
Write your reply...hicho kiazi ni hatari sana tukiachana na Mada msingi wa nyumba Choo huwoni hata kianzi kimetuonyesha kingepewa uwezo wa kuongea kingesema chura ni neema sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli, ukiacha unafiki ambao ni tabia ya mtu binafsi sisi wanawake tuna roho ndogo sana....huwa nawaangalia wanaume wanapotaniana naishia kucheka, utasikia we msenge, mjinga ndio majina yao wanayoitana. Huwa naimagine eti nimuite mwanamke mwenzangu we ma.laya njoo hapa [emoji3][emoji3][emoji3] vita yake atakuja kuamulia Yesu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…