EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #21
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli lazima Yesu ashuke
Ni kweli, ukiacha unafiki ambao ni tabia ya mtu binafsi sisi wanawake tuna roho ndogo sana....huwa nawaangalia wanaume wanapotaniana naishia kucheka, utasikia we msenge, mjinga ndio majina yao wanayoitana. Huwa naimagine eti nimuite mwanamke mwenzangu we ma.laya njoo hapa [emoji3][emoji3][emoji3] vita yake atakuja kuamulia Yesu mwenyewe