Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc espyWatu huwa wanaomba picha,mimi naomba unisaidie location ilipo Mkuu?
Hahahhahahaaaa....nashkuru!!comment bora ya mwaka2019!kudos mkuu!
Hahahah hahah A na B yote majibu,,ukute hukumfua alikufua[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha
Haha samahani mkuuHahaha
Mbona unataka kunipererushia ndege wangu, wakati bebee mwenyewe bado hajaelewaka vizuri!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu huwa wanaomba picha,mimi naomba unisaidie location ilipo Mkuu?
Abee!
Ili ukafanywe nini?Watu huwa wanaomba picha,mimi naomba unisaidie location ilipo Mkuu?
HahahaIli ukafanywe nini?
Njoo takufanyia mwenyewe, sitaki utani na mali yangu bebee!Hahaha
Bebeee na mimi nilitaka nikajaribu kama alivyofanyiwa mleta uzi
Mweeeeh!![emoji134][emoji134][emoji134]
Unanyia sehemu ya karibu [emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nimeshaacha kwenda hizo saloon miaka mingi nanyia sehem ya kawaida tu
Ulilipa shilingi ngapi mkuu?Hii scrub mpyaaa kabisaa. Amenikalia mapajani huku ananiscrub.
Ananiuliza, "kaka kwani unaumia?"
MTATUFILISI
Sent using Jamii Forums mobile app