Wadada wa Chit chat msitulaumu sisi wa baba wa Chit chat!!!!!!!!!!!

mimi kwenye hiyo list ni ''MTUMBA, ALREADY USED'' ni exclude kabisa
 
Enyi watu wa kizazi hiki cha M4C,chadema na ccm,ntaendelea kukaa nanyi mpaka lini?Je mtoto mchanga anafundishwa kunyonya?la hasha !kama mtoto mchanga hafundishwi kunyonya basi maisha ni uchaguzi ila sio wa 2015

makubwa haya ushamuacha mkeo Madame B, wewe kweli kiboko tena cha tembo
 
Last edited by a moderator:
hii ndio salamu yako yakukumbuka birth day date yangu ya leo au sikuelewi vile!!
 
baby Madame B MUTOT ya Chimbuvu,kila anapopita watu hukata shingo kwa jinsi alivyoumbika,mtoto mzuri kama malaika,ni nini nikupatie moyo wako uridhike asali ya moyo wangu,nalingi yo mwasi,otútá ebendé ntángo ezalí na mɔ̌tɔ
Usinitishetishe wewe.
Wapo wanaume kibao kwenye mnyororo nyuma yangu wananisubiri.
 
Last edited by a moderator:

KakaKiiza wangu ni Muumba tu!
 
imenenwa yakuwa: usinukuu wala kuongeza, kuharibu maneno ya kitabu cha uzima cha Mungu, angalia utapigwa power of touch, Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:

Heri umpe tu huyo wa kwako KakaKiiza hana issue yoyote
atakuita pm hapo hapo anakimbia
hata huyo aliyempiga chini kafanya vizuri.

Arusha mko salama kweli huko?
Nimeona kuwa na wewe nimmojawapo mnaochangia kutonipenda!

Haya, umafanya tukio gani tena?
Nahisi ndio umerusha bomu Arusha wewe
Nitake radhi mimi siwezi kuua ndugu zangu!!

Asihangaike kunivizia mie

Kabla hajanivizia, nitakuwa nshamkaba koo
Kwani mimi umeambiwa mimi ni janjaweed??

Arusha tuko salama Mungu anatupigania aise. Huyo KakaKiiza asijaribu kabisa maana hapa patachimbika na atahama JF kama sio kupigwa life ban
Kuna mhindi siku hile nilimuana nitarudi naomba msaada wakunipiga kampani!!

Mhhh Kongosho ndo hapo sasa sijui KakaKiiza ameona wapi ni easy kwenda
Arusha nimeisha palenga!!

kwahiyo tufanyaje unavyosema hivyo? halafu tunataka tumjue mama yenu kwani nyie mlipatikanaje kwa huyo baba yenu Invisible ili tuanze kuwafunda hapa
Sasa kazi ni kwenu wadada maana inabidi mmtafute haa kama mlijikuta dogodogo centre mna mama!!

mimi kwenye hiyo list ni ''MTUMBA, ALREADY USED'' ni exclude kabisa
Weeeee nani kasema wewe ni re-used???

hii ndio salamu yako yakukumbuka birth day date yangu ya leo au sikuelewi vile!!
Nakuja kwa phone ku apolojaizi!!sawaa ehe??

KakaKiiza wangu ni Muumba tu!
Wote ni muumba ila tuna maali tulitokea hata Yesu aliletwa na mungu lakini Joseph akawa chanzo japo Bikra maria hakuwa ametembea naye!!

Unanitaka mimi au Passion Lady.
Na wewe unahangaika mimi nilishakupa wakwako juzi pamoja na DSA ya siku tatu namnani au??Ajakupendezea sema niangushe kifaa kingine!!Chezea KakaKiiza weye!:boink:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…