Wadada wa Chit chat msitulaumu sisi wa baba wa Chit chat!!!!!!!!!!!

Wote ni muumba ila tuna maali tulitokea hata Yesu aliletwa na mungu lakini Joseph akawa chanzo japo Bikra maria hakuwa ametembea naye!!

tumetokea kwenye udongo tena wa mfinyanzi na tunajiandaa kurudi tulikotoka na ndiyo maana wahenga hunena "mwiba uingiliako ndiko utokeako."
 
ama!!!!.............gani inaendelea hapa?!?! KakaKiiza kimenuka?!? kuna mtu kakijambia?!?!? aisee pole sana.........
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky !! kama ana nia ya kunivizia awe tayari na kukataliwa bila kujijua, sipimiki wala sibebeki.... Hapana gusa kabisa mimi!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ana matatizo sana anahitaiji kupata ushauri nasaha kidogo ngoja tumwite doctor wa saikolojia Lady doctor come this way

nikweli uyasemayo huyu anahitajiwa kufanyiwa checkup haraka sana anapoelekea atakuja kubaka hata vikongwe we huoni anavyo imbaimba ovyo nyimbo za mapenzi barabarani huku akicheza kiliwazenza?
 
Last edited by a moderator:
imenenwa yakuwa: usinukuu wala kuongeza, kuharibu maneno ya kitabu cha uzima cha Mungu, angalia utapigwa power of touch, Chimbuvu

ayebisi yo ke ngando oyo aza maladi; ndimela yeo, mpo bango nyoso bavandaka na mayi {If the fish (catfish) tells you that this crocodile is sick, accept it because they all stay in the water.}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…