Wadada wa Chit chat msitulaumu sisi wa baba wa Chit chat!!!!!!!!!!!


we Mr Rocky acha kutuunganishia huko kijanja watu tuna waume atii na kamwe siwezi kuwa na tabia kama za Invisible nakataa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nasikitika kukwambia kuwa passionlady ame..ame...ame..ame.......mmemem..eme...emmmmme..ameee.....ammm ame,....meme...me..aaaame...ame...aaaaamekwenda na gari

hahahaaa!!shemeji Chimbuvu unaniita?
ile gari niliyopanda ni ambulance jirani yangu
ameugua ghafla atiii,usinitaftie shida na huby wangu!!
 
Last edited by a moderator:

halafu binamu tartibu!!
mi nina wangu KakaKiiza wa nini?
ana lake jambo tu huyo atakua katemwa mahali hahaaa!!
 
Last edited by a moderator:
hahaha... Hii ni sili ya watu wawili bana
lakini shost kuna mahali
nimepita,nimemkuta Chimbuvu na Madame B
wapo pamoja tena hizo sifa anazomwagiwa bi dada
usipime nikasema chineeeeeeke,lazima nikufikishie
shoga unaliwa,kua makini,hapo huna mchumba we kula mihela tu basi!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…