Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hapo umenena shost
uwe unaleta hela nyingine
nikufichie,siku mkimwagana
anaweza anza na acc yako ikawa balaa!!hahahaaaa!!
nitaleta unifichie lakini kwa maandishi
usijali tutaandikishana
ila shost huniamini hata mimi?!!
chako changu,changu changu bana!!
chako kikiwa changu nitakuamini mpaka basi
aaaaah wapi
changu changu bana!!
Yamekuwa hayo mdada??naomba tiba!
Mbona hakuna visa mdada ila akorofishwi mtu!
huu sasa ubinafsi wa wazi wazi....
usijali tutaandikishana
ila shost huniamini hata mimi?!!
chako changu,changu changu bana!!
mnakuza ukoo..?usinibanie nduguyo bana acha tushee ili mali isiende mbali
huu sasa ubinafsi wa wazi wazi....
duh...yaani unataifisha mali za mtu..hivi hivi...lol..
wala sio ubinafsi Kipaji Halisi
ndio ukweli wenyewe huo!!hata chako
chaweza kua changu,changu kikabaki kua changu!!
duh...yaani unataifisha mali za mtu..hivi hivi...lol..
nitaleta unifichie lakini kwa maandishi
​aku!! Ruttashobolwa almasi babu weee!!Mhm KakaKiiza dhahabu!wewe usiipige teke!
huyo haishiwi kurusha ndoano ikinasa analala hukohuko na hakumbuki kunkurudi nyumbani hala hala wanamweza wa jiji dasalama tu