Salaam ziwafikie wapendwa.
Kwa muda wa takribani miaka miwili sikuwa nimefika Dar kutokana na majukumu mengine niliyokua nayo Boder ya Namanga. Hivyo mambo mengi nilikua nayapata mji wa Nairobi.
Kwa week sasa nipo Dar, kwa majukumu ya kiofsi, na eneo kuu la mizunguko yangu ni maeneo ya posta.
Ngoja nianze kwa kupongeza kwanza kabla sijawakandamiza maswali warembo wa Dar.
Kiukweli Tz inamabinti na wadada warembo. Guu guu, jicho jicho, kifua kifua....na wowowo ndo usiseme kabisaaaaaaahhhh .
Kifupi Bongo kuna warembo, utazani Bongo bahatimbaya vileee......
Swali ambalo limenijia kwa muda wote wa week hii, katika pitapita zangu inakuaje mabinti na wadada wanaofanya shughuli zao maeneo haya ya posta, kama design wanafanana vile,.....kama wanashare genetic make up from one clan,
coz utashangaa wote figure za kibantu mbona mikoani hiyo kufanana hivyo hakuna? Kila demu ni version tofauti kabisa.....ila Dar kama vile wanazalishwa kiwandani of the same model- type.
Kulikon wazee na mama zetu hawa mabinti zenu mnawalisha nini?
Au kuna vidonge speshel vinavyotengeneza figure hizi
Karibuni mnitoe ushamba wangu wakuu.
Regards.