Wadada wa Dar es salaam, acheni kubakiza nyama kwenye mifupa.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Niko dsm, katika kukutana na ndugu yangu mmoja (KE), bahati mbaya ama nzuri akaja na jopo la Marafiki zake.(Hii haikua kesi)

Nyongo yangu ilinipanda baada ya kuona style ya ulaji ya wale kina Dada , kwanza waliagiza ndizi kama sita hivi na chips , hatimaye zililiwa ndizi tatu tu na chipsi wakagusa gusa nyingine zikaachwa hapo kwa madai kua sio nzuri kama sijui za wapi (walitaja jina mahala sipakumbuki)kwakweli mm niliona ni chips kama chips nyingine , pili ni jinsi walivyokua wanabakiza Minofu ya nyama kwenye Mifupa huku nyama nyingine zikitengwa pembeni kwa madai ya kwamba ni ngumu ilhali nyama ilikua Nyepesi kabisa tayari hata kutafunwa na Bibi kizee asiye na meno.
Mbaya kuliko zote , wao ndio walikua wenyeji na walisuggest sehemu hiyo ndio mahala pa kula.
Si sahihi sana kumsema mtu kwa ajili ya chakula ila kwa hawa wanawake wa mji huo wamezidi, kesi kama hii niliwahi kushuhudiwa na rafiki yangu mmoja ambapo sikuamini , sasa leo nimeshuhudia mwenyewe.

Niseme tu kwnye ile Kilo mbili na nusu nadhani ililiwa kilo tu na nyingine yote niliona muhudumu akiisukuma na tambara kwnye sahani ya uchafu.
Wadada wa Dsm please kuweni na huruma ..especially katika awamu hii ya tano .
 
Daaah mie nikifika kwenye nyama kwa kweli huwa najifanya kama niko peke yangu,.yaani nakwangua kila panapofaa na kuomba kisu kama hakipo.
tehteehh......
Wa Dar, hamuwezi hata kutafuna chips...[emoji12] [emoji12]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji109] [emoji3] [emoji109] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nikwambie tu ukiona mwanamke wa hivyo jua hana uchungu na pesa iliyomtoka na pia huenda ikawa pesa anayotumia halikumtoka jasho kuipata , sababu angeitolea jasho kule kula kwa kuacha acha kusinge kuwepo na angeagiza kiasi cha kumtosha.

Na kama ingekuwa shibe basi angeomba hata kamfuko aweke akamalizie kula nyumbani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Utoto tu wakikua wataacha

Vitu km breed, kula sana, kujamba, kujisaidia kwa kuhara ke wengi huona aibu unakuta anajibana mwisho wa siku km ni msosi anadonoa hivyo anabaki na njaa yake km ni kuhara hivyohivyo lkn kwa wanawake matured km mimi nikiwa na njaa nakula haswaa km sina njaa sitarihusu ununue chakula km ni kujamba najamba vizuri tu maana ni matendo ya lazima ktk mwili wa binadamu
 
Niko dsm, katika kukutana na ndugu yangu mmoja (KE), bahati mbaya ama nzuri akaja na jopo la Marafiki zake.(Hii haikua kesi)

Nyongo yangu ilinipanda baada ya kuona style ya ulaji ya wale kina Dada , kwanza waliagiza ndizi kama sita hivi na chips , hatimaye zililiwa ndizi tatu tu na chipsi wakagusa gusa nyingine zikaachwa hapo kwa madai kua sio nzuri kama sijui za wapi (walitaja jina mahala sipakumbuki)kwakweli mm niliona ni chips kama chips nyingine , pili ni jinsi walivyokua wanabakiza Minofu ya nyama kwenye Mifupa huku nyama nyingine zikitengwa pembeni kwa madai ya kwamba ni ngumu ilhali nyama ilikua Nyepesi kabisa tayari hata kutafunwa na Bibi kizee asiye na meno.
Mbaya kuliko zote , wao ndio walikua wenyeji na walisuggest sehemu hiyo ndio mahala pa kula.
Si sahihi sana kumsema mtu kwa ajili ya chakula ila kwa hawa wanawake wa mji huo wamezidi, kesi kama hii niliwahi kushuhudiwa na rafiki yangu mmoja ambapo sikuamini , sasa leo nimeshuhudia mwenyewe.

Niseme tu kwnye ile Kilo mbili na nusu nadhani ililiwa kilo tu na nyingine yote niliona muhudumu akiisukuma na tambara kwnye sahani ya uchafu.
Wadada wa Dsm please kuweni na huruma ..especially katika awamu hii ya tano .
Aisee wapo hata huku mikoani
 
Back
Top Bottom