Wadada wa Dar es salaam, acheni kubakiza nyama kwenye mifupa.

Sio wadada wa dsm. Hao ni waigizaji. Wakirud kwenye mageto yao wanafidia ujinga waliofanya
 
Picha ya hiyo mifupa tuone kama unachoongea ni kweli
 
Daaah mie nikifika kwenye nyama kwa kweli huwa najifanya kama niko peke yangu,.yaani nakwangua kila panapofaa na kuomba kisu kama hakipo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…