Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Unapenda vijora chukuchuku au sio Shem?Naunga mkono hoja ya msingi sana hii...😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda vijora chukuchuku au sio Shem?Naunga mkono hoja ya msingi sana hii...😋
Shem, kijora chukuchuku hakina shughuli hasa kwenye ile tunaita dunia panuka...😋Unapenda vijora chukuchuku au sio Shem?
🤣🤣🤣🤣Shemeji yangu weye mtu wa pwani?Shem, kijora chukuchuku hakina shughuli hasa kwenye ile tunaita dunia panuka...😋
Nimehamia Pemba shem, huku twavaa msuli 24/4 😋😋🤣🤣🤣🤣Shemeji yangu weye mtu wa pwani?
🤣🤣🤣🤣 Kuwa mwangalifu,mwisho wa msuli ni bushaNimehamia Pemba shem, huku twavaa msuli 24/4 😋😋
Wewe bibi hata kama huna tako sio mbayaTusio na Tako tuna comment wapi😛
Mume msuli, mke kijora chukuchuku🤣🤣🤣 kivumbi hapo🤣Nimehamia Pemba shem, huku twavaa msuli 24/4 😋😋
Wanawake wanapenda kale kausumbufu,Wakuu, yani wadada kusikia utabiri wa hali ya hewa kwamba maeneo ya pwani kutakuwa na upepo mkali wa wastani na mawimbi ya bahari kufikia hadi mita 2 ,
Basi wameamua kuvaa nguo fupi alafu nyepesi kwa makusudi alafu unakuta ndani vichupi tu no skin tight, ni mimi tu sijui nawaona huku mjini alafu et anahangaika kuizuia isipepee
Msitufanye kuongeza michepuko kilazima msimu wa kipupwe mvae vitenge virefu kama vya wasabato
Maana hata madera huwa yananasa kwa hapa mbele kama upepo unakuja kwa mbele
Cha msingi liwe laini tuTako uwe nalo sasa
Kama parachichi liloivaaaaCha msingi liwe laini tu
HeheeeWewe bibi hata kama huna tako sio mbaya
Huwa mnakalia nini sasa.?Tusio na Tako tuna comment wapi[emoji14]
Aya we kataa tuHeheee
Mi sio bibi😛
Kwani miaka 20 nayo ni bibi?Aya we kataa tu