Asilimia 90 ya mademu wa dar mbingu watazisikia tu..
✓Housegal ukikutana nae Ni Kama mfanyakaz wa ewura au TRa..
✓Mfagiaji wa maofisi ndo usiseme ananukia perfume za Bei Basi zima ananukia yeye tu..
✓mwanafunzi wa sekondari utadhan Ni mwanafunzi wa chuo kikuuu,.udsm au pale st.joseph Sio kwa viwalo wanavyotupia miksa na simu Kali ambayo hata Mimi Sina masikion earpods...