Wadada wa Dar naomba kujuzwa

Wadada wa Dar naomba kujuzwa

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,675
Reaction score
2,807
Siku hizi mitaa ya insta kumejaaa matangazo ya bidhaa za kuongeza makalio. Wenyewe wanakwambia mwezi tuu unapata mshepu wa kina Masogange.

Pia kuna mikanda inauzwa wanaiita booty lifter hii kazi kazi yake ni kubinua kalio.

Sasa mimi ninaswali kwani kalio lina kazi gani siku hizi huko Dar..??? Mbona wapenda hizi bidhaaa wanaongezeka???

The tomorrow people, Mwanaume kutoka Bara.
 
Back
Top Bottom