Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Hebu nifungulie hiyo PM nijae humo.Yaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta sasa niacheni . Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu.
Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia . Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID . nanitabakia na ID YANGU NA MTAKEREKA SANA . NA ID MTABADILI MPAKA MWISHO WA dunia kwa upande wenu
SiwahitajiHebu nifungulie hiyo PM nijae humo.
Hata na mimi sijui je wewe unawajuaKwani umepatwa na nini?
Mimi sio mdada. Mimi nina ajenda ya kuongezeaSiwahitaji
Nyie ni wanafiki tatizoMimi sio mdada. Mimi nina ajenda ya kuongezea
Wewe ukiona nasemwa unalike mara nyingi tu ila sina timeWamekufanya Nini kipenzi??
Hapana hata kidogoHata na mimi sijui je wewe unawajua
Masikini wa Mungu🤦🤦.. Kipenzi Mimi hua sizingatiagi Nani anaongea Nini ninavyopita kulike,.. Uwe unanistua basi niache my dear.... Sipendi kuona ukiwa na huzuni kipenzi changu wamekusema Nini kibaya kwani?Wewe ukiona nasemwa unalike mara nyingi tu ila sina time
Yaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta sasa niacheni . Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu.
Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia . Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID . nanitabakia na ID YANGU NA MTAKEREKA SANA . NA ID MTABADILI MPAKA MWISHO WA dunia kwa upande wenu
Umeanza kuomba msamaha hata kosa hakijulikani kweli??Masikini wa Mungu🤦🤦.. Kipenzi Mimi hua sizingatiagi Nani anaongea Nini ninavyopita kulike,.. Uwe unanistua basi niache my dear.... Sipendi kuona ukiwa na huzuni kipenzi changu wamekusema Nini kibaya kwani?
Mimi kwenye list sipo na haujawahi kuniona. Mimi sio mwanaume wa DarNyie ni wanafiki tatizo
Si amesema nikiona anasemwa napita kulike nadhani ndio kosa. Kumbe hua wanasemana na sijui😃, wacha nianze kumfatilia kwa makini sikuiziUmeanza kuomba msamaha hata kosa hakijulikani kweli??