Wadada wa humu niacheni

Wadada wa humu niacheni

Kumekucha 😂😂😂
Nani kamuudhi da mau..??
Wewe ni wakwanza unajua ni bora uwe kweli tu sio kuact we are cool na huku hunipendi , wewe kama wewe sina haja yakujielezea . Unajielewa kuwa wewe ni mtu hunipendi unafurahi nikisemwa nikitukanwa na mnastyle yenu yakunidiscuss ningependa kujua shida nini labda wewe unayejidai unanifagilia useme . Maana inaonekana hutaki kuona ID yangu yaani huna amani shida huwa nini??
 
Lamomy njoo ujibu hapa....
 
Da mau mimi tena..?? 😂😂😂
Mbona mi always niko upande wako, nani ka kusema??
Hebu tema mate nimchape..!!
Sasa da mau mi nikuchukie nakujua.??
Halafu mimi sina bifu na mtu yoyote humu..!!
Sema ww hutaki kuniona nacheka ukigombana na watu wako ilo ndo tatizo lako..!
 
Back
Top Bottom