Acha kelele atakusikiaππππ Mimi niwe na file humu..??
Linahusu nini sasa?? Kwani we mgeni humu jf??
Come on gal nini shida shemu?Siwahitaji
Jamani kuna niniπ³Si amesema nikiona anasemwa napita kulike nadhani ndio kosa. Kumbe hua wanasemana na sijuiπ, wacha nianze kumfatilia kwa makini sikuizi
Mwacheni mwenzenu nyie wadada.Tema mate tuwachape π€
Acha makasiriko binti. Fanya kazi yako ya udalali, humu huwezi na hutapata mwanamke. Nina wasiwasi wewe unaweza kuwa mwanaume tena tapeli unawaseti jamaa humu.Mbona hamjii sasa na hizo id zenu zakiwakii tuanze kulipuana
Mpaka Numbisa kaandika kwa kirefu hivi basi kuna jambo.Humu wadada hawana bifu bali mtu akijishtukia tu anajitekenya mwenyewe kwa lifekero kisha anakuja kulalamika kwa ID zoefu
Huu ndio mtandao unaoongoza kuwa na wehu ambao wanatumia fake ID kutoa stress zao. We ukitaka kujua wana JF wana mtindio qa Akili, post thread ya mafanikio. Utaona watakavyokushambulia.Never thought JF kuna wagonjwa wa akili
Lakini kuanzisha thread ya malalamiko kama vile upo mtaani kwenu is way too much.Huu ndio mtandao unaoongoza kuwa na wehu ambao wanatumia fake ID kutoa stress zao. We ukitaka kujua wana JF wana mtindio qa Akili, post thread ya mafanikio. Utaona watakavyokushambulia.
Mashangazi ndyo tupo πMwacheni mwenzenu nyie wadada.
Mishangazi ya JF inawaonea mabinti
Mwacheni tafadhaliMashangazi ndyo tupo π
Kwani tumemfanya nini na weweMwacheni tafadhali
Kuna jambo. Haiwezekani mwenzenu alalamike kiasi hiki huku mkifurahia.Kwani tumemfanya nini na wewe
Kweli mnashidaAcha makasiriko binti. Fanya kazi yako ya udalali, humu huwezi na hutapata mwanamke. Nina wasiwasi wewe unaweza kuwa mwanaume tena tapeli unawaseti jamaa humu.
Ndio nami nawashangaa shida nini??Kuna jambo. Haiwezekani mwenzenu alalamike kiasi hiki huku mkifurahia.
Anyway, ni mambo ya kike. Ngoja ninyamaze!
Mdomo koma!