Wadada wa humu niacheni

Wadada wa humu niacheni

Daa ubavu wa kushoto unaning’inia , unahitaji upachikwe kwenye mwili ila hamna wa kuuweka
 
Masikini wa Mungu[emoji1751][emoji1751].. Kipenzi Mimi hua sizingatiagi Nani anaongea Nini ninavyopita kulike,.. Uwe unanistua basi niache my dear.... Sipendi kuona ukiwa na huzuni kipenzi changu wamekusema Nini kibaya kwani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuliza komwe,ukipigwa me sitakuwepo kukusaidia
 
Yaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta sasa niacheni . Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu.

Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia . Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID . nanitabakia na ID YANGU NA MTAKEREKA SANA . NA ID MTABADILI MPAKA MWISHO WA dunia kwa upande wenu
Tatizo wewe Ni mtamu

Siku zote mti wenye matunda mazuri hupigwa mawe.

Chek DM yako mara moja mtu angu
 
Yes ndio nilikuwa nawasubiri na ID ZENU zakiwaki hapa kazi umbeya hamna kazi za kufanya namnafuatilia maisha ya watu kama mnalipwa na huku hamna maana yeyote yakufanya eti attention seeker kwani wewe sio malaya seeker na hauna marinda siukapumzike tu . Uache kuja kuhangaika na mie nakupunguzia nini kazi umbeya tu. Hujulikani kisa umaskini tu unakuandama .
[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom