Wadada wa humu wazuri tena wakarimu hawachukii ukiwakera cyo cri nawapenda

Wadada wa humu wazuri tena wakarimu hawachukii ukiwakera cyo cri nawapenda

sema kabisa unamtaka nani usije ukampenda demu wangu bure. Nalog off
 
Badili kwanza namna yako ya kuandika. cfa ndio nini? sema SIFA, itbdi sema ITABIDI!
 
mmmmmmmh! Huyu aliyechangia mwishoni kanikata moto wew hupendi maendeleo ya wenzako acha kuponda bhana kama umekataliwa nao kwa sababu zako binafsi shaur yako tuache wenye uhitaji tupate tunachokihitaji
 
Wengi wao ni mabonge halafu age imeenda vp utawaweza?
 
Badili kwanza namna yako ya kuandika. cfa ndio nini? sema SIFA, itbdi sema ITABIDI!
Bora umwambie, anabania maneno kama vile analipia.

Hujambo mwali? Deskmate anakusalimu.
 
Wadada wa humu wazuri tena wakarimu hawachukii ukiwakera cyo cri nawapenda

mmmmmmh!
 
Back
Top Bottom