sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Ha ha ha! Mke mwenza kwa mkwara nakuaminia...eti tape measure haina namba....khaMuambie huyo! Akiona vyaelea ajue vimening'inizwa atii! PAW atamlima ban jf, mbinguni na duniani hadi akhera! Sijui ataenda wapi na tape measure yake isiyo na namba!