Wadada wa humu wazuri tena wakarimu hawachukii ukiwakera cyo cri nawapenda

Wadada wa humu wazuri tena wakarimu hawachukii ukiwakera cyo cri nawapenda

Muambie huyo! Akiona vyaelea ajue vimening'inizwa atii! PAW atamlima ban jf, mbinguni na duniani hadi akhera! Sijui ataenda wapi na tape measure yake isiyo na namba!
Ha ha ha! Mke mwenza kwa mkwara nakuaminia...eti tape measure haina namba....kha
 
Afu unamnunia shem, unaenda kwa nitonye ili akutonye! Nitonye mwenyewe ni toinyo tu,kha!
Mke mwenza taratibu basi jamani khaa! Wajua fika mie na wanaume wafupi mbali mbali...nitonye alivo mfupi mie ntampeleka wapi? Afu nimemdanganya wifi kuwa nimemnunia kakake ili nione kama atafurahia au vipi! Mawifi hawaaminiki bana( huoni katoa siri ya handbag lol)...wewe wajua nnavompenda kakake AD ntaweza kweli kumnunia?
 
Hahahaaa mwanamke jocho bibi eeh, haloo, hasa ukijua kulitumia.....
Mambo gani ya kupeana masharati unaogopa ntamnyakua PAW? Akhaa bibi mi menyewe festilady wa ikulu ya bariadi, Hydom yako tu usiwe na shaka ....lolest!

Halafu kumbe wewe na SL waume zenu ni mamods eeh, afu kuzaliwa sikujuaga Cookie ni HE....khaa!
Tuchokoze uone utakavyolimwa seva ban!
 
Mie ngoja niondoke humu manake nikipigwa ban nyumbani pia itakuwa balaa! Wifi, karibia lunch, SL atakutonya menu! Iweni na siku salama, mtoa mada akinitafuta anichumbie muambieni I am unbeepable
 
Mie ngoja niondoke humu manake nikipigwa ban nyumbani pia itakuwa balaa! Wifi, karibia lunch, SL atakutonya menu! Iweni na siku salama, mtoa mada akinitafuta anichumbie muambieni I am unbeepable
Mmh ama kweli siku ya kurudi Mesaya, watakuwepo wanawake wawili wakisaga, mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa....
 
Mmh ama kweli siku ya kurudi Mesaya, watakuwepo wanawake wawili wakisaga, mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa....
Ha ha ha! Huyo aliyeachwa alikuwa anamtegea mwenzie kwenye kusaga....lol.
 
ila kaa ukijua wengi humu ni MANUNG'AYEMBE

Umejuaje mkuu? sababu humu tunafahamiana kwa avator na identity. sasa wewe umewaza nini hadi uwavunjie heshima. sikubaliani na wewe. unayo ongea ni uongo. wangapi umekutana nao hadi useme hivyo? usimuongee mwenzio kwa ubaya kama huna uhakika na unachokisema. Mia
 
Mie ngoja niondoke humu manake nikipigwa ban nyumbani pia itakuwa balaa! Wifi, karibia lunch, SL atakutonya menu! Iweni na siku salama, mtoa mada akinitafuta anichumbie muambieni I am unbeepable

u r beepable uczuge
 
ila kaa ukijua wengi humu ni MANUNG'AYEMBE

taratibu mkuu kha nikikumbuka ule wimbo unavyo sema`wanawake wazuri wazuri wameolewa...yamebaki manungayembe yanahangaika` hasira zinanipanda,Tutake radhi la sivyo kaa mbali na mm.
 
umewakera sana kiasi ambacho imewabidi kukupotezea...unafurahia ukimya?
 
Back
Top Bottom