Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Tell hiyo stori tusikiewanatengeneza mazingira ya kuonekana wema na wastraabu ila hawako hivyo hata.
Hakuna mwanamke asiyependa hela kwa dunia ya sasa.
Hakuna mwanamke asiyechepuka.
Gentleman be carefully with beautiful lady humu ndani wengi ni Scam.[emoji419][emoji375]
I have a story to tell..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama kweli watu hawapendi hela wasiseme?
Wanavyosema wanaume ni Mbwa, kwani wanaume wote ni mbwa? We Mshana ni mbwa??