Wadada wa JF mkoje jamani!

Wadada wa JF mkoje jamani!

Kwanza atuondolee unafiki wake Mimi na home girls wangu Kwa umoja wetu tumeshasema tunapenda pesa,lini tulisema hatupendi pesa jamani eti nyie hampendi? Shunie Missy Gf Lamomy Amehlo hata dada mpole Nuzulati anapenda pesa....au Depal hupendi?
Kwakweli pesa napenda halafu ya kupewa inakuwa nzuri sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asubuhi mmeamkaje.

Niseme hivi Gentlemen wa jf mjitahidi sana kuwa makini na sisi mabinti wa jf.
Juzi nimefungua Acc nikajaribu kuwa real na kueleza uhalisia wa mambo hasa yanayotukuta sisi wadada juu ya mahusiano.

Actually nimeona nikipigwa sana hasa na jinsia yangu .

Ngoja niwaambieni wanaume humu ndani naona wadada wengi WASANII.

wanatengeneza mazingira ya kuonekana wema na wastraabu ila hawako hivyo hata.

Hakuna mwanamke asiyependa hela kwa dunia ya sasa.

Hakuna mwanamke asiyechepuka.

Gentleman be carefully with beautiful lady humu ndani wengi ni Scam.
Chukua maua yako
 
Kwanza atuondolee unafiki wake Mimi na home girls wangu Kwa umoja wetu tumeshasema tunapenda pesa,lini tulisema hatupendi pesa jamani eti nyie hampendi? Shunie Missy Gf Lamomy Amehlo hata dada mpole Nuzulati anapenda pesa....au Depal hupendi?
Pesa sabuni ya rohoo

Yeye alisema tunachepuka 🤣
Nikamkatalia, au Jojo we unachepuka? Sisi si tumeokoka?
 
Kwani haupendi hela,hauna lolote ukweli mie mwanamke mwenzenu lazima niseme mnajifanya makuhani wa msikiti nyie wanaizaya wajaalaana.
Umejaa laana weyee
Uliyeshindwa kuja na ID yako ya siku zote
Unatafuta kuwatapeli kaka zetu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom