Wadada wa JF mkoje jamani!

Wadada wa JF mkoje jamani!

Asubuhi mmeamkaje.

Niseme hivi Gentlemen wa jf mjitahidi sana kuwa makini na sisi mabinti wa jf.
Juzi nimefungua Acc nikajaribu kuwa real na kueleza uhalisia wa mambo hasa yanayotukuta sisi wadada juu ya mahusiano.

Actually nimeona nikipigwa sana hasa na jinsia yangu .

Ngoja niwaambieni wanaume humu ndani naona wadada wengi WASANII.

wanatengeneza mazingira ya kuonekana wema na wastraabu ila hawako hivyo hata.

Hakuna mwanamke asiyependa hela kwa dunia ya sasa.

Hakuna mwanamke asiyechepuka.

Gentleman be carefully with beautiful lady humu ndani wengi ni Scam.
💯🌹
 
Kwanza atuondolee unafiki wake Mimi na home girls wangu Kwa umoja wetu tumeshasema tunapenda pesa,lini tulisema hatupendi pesa jamani eti nyie hampendi? Shunie Missy Gf Lamomy Amehlo hata dada mpole Nuzulati anapenda pesa....au Depal hupendi?
Me nazipenda haswaa!! Mpk cazee wangu analijua ilo kitambo, uongo cazee Extrovert 🤣🤣🤣
 
Asubuhi mmeamkaje.

Niseme hivi Gentlemen wa jf mjitahidi sana kuwa makini na sisi mabinti wa jf.
Juzi nimefungua Acc nikajaribu kuwa real na kueleza uhalisia wa mambo hasa yanayotukuta sisi wadada juu ya mahusiano.

Actually nimeona nikipigwa sana hasa na jinsia yangu .

Ngoja niwaambieni wanaume humu ndani naona wadada wengi WASANII.

wanatengeneza mazingira ya kuonekana wema na wastraabu ila hawako hivyo hata.

Hakuna mwanamke asiyependa hela kwa dunia ya sasa.

Hakuna mwanamke asiyechepuka.

Gentleman be carefully with beautiful lady humu ndani wengi ni Scam.
Ahsante kwa tahadhari. Tutaanza kujilinda na kuweka umakini wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom