Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tatizo linakuja hapa,

Kila mtu humu kajiunga kwa matakwa yake, anapewa akaunti na kuweka kile akitakacho. Kama ilivyo wewe hapo upo huru kutumia akaunti yako, kuwaambia waweke za namna fulani ni kuingilia uhuru wao wa kutumia akaunti zao.

Huki kutiwa ashiki/mshongo/nyege si kosa lao, waache wafanye wanachopenda. Kila mtu ana uhuru wa akaunti yake, wewe upo huru. Why uingilie wa mwingine?


Niwie radhi, yamkini comment yangu yaweza kuwa karaha kwako.
 
Have you ever created any human.. Wote tuliumbwa na Mungu! So we are equal uwaache watoto wa watu
Well said mkuu.....ila inakera unakuta demu ana sura mbaya alafu anaringa.....mbaya zaidi ukimsalimia unakuta anakushusha alafu anakupandisha, anasonya alafu anatema mate chini...
 
Well said mkuu.....ila inakera unakuta demu ana sura mbaya alafu anaringa.....mbaya zaidi ukimsalimia unakuta anakushusha alafu anakupandisha, anasonya alafu anatema mate chini...
Imewahi kukukuta majibu pleas
 
Imewahi kukukuta majibu pleas
eee dem nilikuwa nataka nimtokee alikuwa na sura mbaya nikajua ,atajaa kingi afu ntapiga kirahisi, du kinyume chake ikawa dharau na kejeli, nilichofanya ili kuharibu kabisa nikamwambia ananuka K, ilikuwa utata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…