bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Nipe hio kitu nipunguze machungu ya vyeti fake[emoji23][emoji23][emoji23] nina video yake nikakumbuka ana chura hatariii![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe hio kitu nipunguze machungu ya vyeti fake[emoji23][emoji23][emoji23] nina video yake nikakumbuka ana chura hatariii![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mmoja anapatikana sana maeneo haya dah!
Ana avatar ya uhakika, si akatafutwa kwa namna zote,
Nikaja kumuona sikupenda kuonesha mshituko kwake,
kwa ujumla hana nilichovutiwa naye,
Sikumuulizia nini kilimpata kwani ana ngeo kubwa mno karibu na jicho upande wa kushoto, nadhani ni mtu wa Tarime kwani ndo waso huruma kiasi hicho.
Nilijitahidi kutoa huduma zote kama mgeni wangu,
Na mwisho tumekuwa watu wa karibu na marafiki wa kawaida.
Tunataniana mpaka anazungumza sababu ya kubadirishia gia angani nami namwambia si kweli basi anacheka sana tu.
Jibu kwanza hii case!Nitarudi
Have you ever created any human.. Wote tuliumbwa na Mungu! So we are equal uwaache watoto wa watuKuna mademu wana sura za baba zao........mbaya zaidi unakuta baba ni badface....demu unakuta sura kama bagia,,,,alafu ukitoa salam anaangalia pembeni.............shame to you ugly girls...................
Teh tehNipe hio kitu nipunguze machungu ya vyeti fake
Nishajibu mbon ndo mie huyoJibu kwanza hii case!
cuzoo twende kule kwetu kuna video nimeiweka mdada mzuri acha tu anachokifanyaI see you cuzoo[emoji4][emoji4]
Tatizo linakuja hapa,Kiukweli huwa mnatutia genye sana na hizi avatar.
Yani unatamani kumfuata mtu PM kisa avatar yake.
Afu mkija humu mnalalamika mnasumbuliwa. Si muweke avatar ya sura mbaya muone km kuna mtu atakusumbua?
View attachment 503513 View attachment 503514 View attachment 503515 View attachment 503516
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya utatoa hutoiNipe hio kitu nipunguze machungu ya vyeti fake
Well said mkuu.....ila inakera unakuta demu ana sura mbaya alafu anaringa.....mbaya zaidi ukimsalimia unakuta anakushusha alafu anakupandisha, anasonya alafu anatema mate chini...Have you ever created any human.. Wote tuliumbwa na Mungu! So we are equal uwaache watoto wa watu
Nishaiona. Nimetoka hukocuzoo twende kule kwetu kuna video nimeiweka mdada mzuri acha tu anachokifanya
Imewahi kukukuta majibu pleasWell said mkuu.....ila inakera unakuta demu ana sura mbaya alafu anaringa.....mbaya zaidi ukimsalimia unakuta anakushusha alafu anakupandisha, anasonya alafu anatema mate chini...
hahaha cuzoo huchelewiNishaiona. Nimetoka huko
Daah,njoo pm mkuu..Labda hao huyu ni mm
Sitaki kupitwa kwa kweli[emoji1][emoji1]hahaha cuzoo huchelewi
eee dem nilikuwa nataka nimtokee alikuwa na sura mbaya nikajua ,atajaa kingi afu ntapiga kirahisi, du kinyume chake ikawa dharau na kejeli, nilichofanya ili kuharibu kabisa nikamwambia ananuka K, ilikuwa utataImewahi kukukuta majibu pleas
Kama ni kweli basi you are so beatifulLabda hao huyu ni mm