Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

We waache wakizidi kutuchefua tunawapa ID watufollw huko insta wakaone uumbaji wa Mungu[emoji5]

Kuna mdada alitoa ushuhuda humu kuwa alikimbiwa na JF member mwenzie humu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji36] [emoji36] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji108] [emoji108] Ntacheka had kesho jamaniii kaaaaaH .. Ila yte kw yte "We MBWA" io sio tabia nzur, af acha kupend pend brazza utakurupukia jishoga af ukose pozi
Nimeshajifunza mkuu nimegundua humu unaweza ukanasa dege lisiloliwa.[emoji13]

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Mi nimeongeza porpcorn kabisa aisee [emoji4], ningependa huu uzi nikeshe nao
47c275be6e48ae0c4e4fc0308f36ad3d.gif
 
Back
Top Bottom